Mnaotafuta Kazi,Canada kuna Kazi bwerere hazina watu.

Kama upo huko jitahidi kufuatilia utaratibu uko vp? Mkuu kuna system ya kutumia invitation friend Visa sijui kama unaijua?
 
Kuna watu wanapata scholarship mfano ya kwenda italy kusoma,naskia huwa unalipwa na serikali ya huko na kila kitu bure.

Je ni kweli watu wakipata nafasi wanasoma huku wakilipwa ?

Na kama ni kweli jee ni bei gani ?

Je kkuna risk gani ?
 
Kuna watu wanapata scholarship mfano ya kwenda italy kusoma,naskia huwa unalipwa na serikali ya huko na kila kitu bure.

Je ni kweli watu wakipata nafasi wanasoma huku wakilipwa ?

Na kama ni kweli jee ni bei gani ?

Je kkuna risk gani ?
NI kweli mkuu,huwa zinatangazwa za Nchi mbalimbali ikiwemo Uturuki nk.

Unapewa bumu,tiketi ya ndege na mahala pa kuishi kwa kipindi chote utakachokuwa masomono.
 
KIrahisihi ivyo wahindi walivyo jaaa uko wangeshawapa ndugu zao mashavu
Ndio hawajawapa sasa,kwa hiyo unabishana na gazeti la Canada au.

Ndio maana wabongo hamuishi kulaumu na kulia Lia,unaonyeshwa fursa tena na wewe umesema ila bado unazingua.

Kuna kipindi UK walisema Wana upungufu mkubwa wa madereva ila sijui kama kuna wabongo walienda tofauti na Wakenya,Nigeria,Ghana na South Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…