Inawezekana huyo mtumaji ndiye mhusika ila anakuja kujifanya naye ni mhanga.Hizi Screenshots tunaweza kuprove kwamba ulikuwa unatuma kwa Nicki? Hata kublue Tick haijatick, namba ya Nicki akisoma inablue Tick.
Kabisa yaani hawa wenye majina ukiwa kidampa hawana time kabisa and they don't care better to work with low key people...! Nshakia tuhuma kwa mmoja hivi yaani kwanza hajali hata kidogo!Kuna haja ya kufanya kazi na ma underground tu. Hawa wenye majina wana pesa ya uhakika tayari ndio wamejawa viburi yani!
Daahh!poleni sana mimi nafanya kazi Na yoyote yule mradi tu yuko vzr baasiHii imewahi nikuta nilikubaliana na mtu kuhusu kunipiga picha na video futi, kilichonikuta na kosa nililofanya nikuwapa hela yote, kanitolea picha mbaya, photo album hajaleta mpaka leo, Hawa vijana wapiga picha ni wajinga they don't think about future wao wakilipwa wanajiona wamefika na wanao waharibia ni hao wateja wao.
Wanadharau sana yani wangese hao! Ni kama Dicksound mastaa anawapet peti ila kajamba nan analeta dharau kishenziKabisa yaani hawa wenye majina ukiwa kidampa hawana time kabisa and they don't care better to work with low key people...! Nshakia tuhuma kwa mmoja hivi yaani kwanza hajali hata kidogo!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Halafu hao mastaa unakuta wanakopa. Wasanii wenyewe apeche tu bora hawa mwenzangu na mimi.Wanadharau sana yani wangese hao! Ni kama Dicksound mastaa anawapet peti ila kajamba nan analeta dharau kishenzi
We Dada acha kutetea matapeli,kama wewe ni mmewe,besti yake au ndugu yake au Nick mwenyewe jirekebishe.Mtu sio kichaa from noweher aje amchafue eti kisa au ushindani wa kibiashara.Hakuna kitu kinauma kama kuharibiwa tukio lako adhimu.So namfahamu NICK, aliwahi kufanya Wedding ya Rafiki yangu mwaka huu hapo Dar es Salaam. ALIFANYA KAZI HIYO KWA UBORA NA UAMINIFU
Nilipoona hii post niliamua kumtafuta sikumpata, lakini rafiki yangu ambaye alifanya naye kazi alimpata na kumuuliza kuhusu Uzi huu ulioweka.
Ndugu, uzi wako una kasoro na viashiria kwamba UNATAKA TU KUMCHAFUA NICK KWA SABABU ZAKO. Kasoro hizo ni;
1. Huelezi Nick kakukosea nini haswa. Uko too general husemi ulichofanywa.
2. Umetanguliza kujihami kwingi kwamba huandiki kwa nia mbaya, ilinipa hofu kuona kwamba unaweza kuwa na nia mbaya. Umemaliza pia kwa kusema utaletewa povu, why uletewe povu kweny jambo hilo?
Nicki amejieleza na kuomba wanajamvi wapime mambo yafuatayo:
1. Yeye sio biashara ya mtandaoni ambayo mtu anaweza kupata tabu kuifahamu. YEYE NI KAMPUNI, INA OFISI ZAKE ZIKO SINZA. Hivyo kama kweli una malalamiko kwake, ni rahisi kabisa kumkamata na kufungua kesi. So fara Ofisni kwake hakuna malalamiko ya hivyo unavyosema kwamba eti unashindwa kumpeleka mahakamani.
2. Nicki anahusisaha suala hili na vita za kibiashara kwa sababu YEYE ANAJITANGAZA SANA NA KUTOA HUDUMA KWA BEI NAFUU jambo ambalo washindani wake kwenye biashara linawakera sana. Mnaungana kumpiga vita.
3. Nicki amehusisha hili na TUZO, mnajua wenyewe mambo yenu ya tuzo ambazo mwaka jana Nicki alishinda. Mwaka huu tena yuko Nominated, hivyo kuelekea tuzo hizo mmeanza kuwekeana fitna.
MSICHAFUANE, MWENYE MALALAMIKO YA KWELI TUAMBIE ULIFANYWA NINI, NICKI YUPO OFISNI KWAKE TUELEZE KWA NINI HUJAMKAMATA?
Uzi wako una dalili zote za chuki za kibiashara, umekosa mashiko na ukweli wa hoja. ACHA.
Benard tilio nae ana dharau mnoo!anashoboka na mastaa balaa yule mpiga picha sie kajamba nani wala hana timeWanadharau sana yani wangese hao! Ni kama Dicksound mastaa anawapet peti ila kajamba nan analeta dharau kishenzi
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji16]walikutenda mbayaaa!Sina hamu na washona suti vijana wa kibongo, nikipata event yoyote bora ninunue nguo kuliko kwenda shona suti.
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji16]walikutenda mbayaaa!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]alishona pensi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]ukafanyaje?!Suti ilikuja inashia mapajani iyo suruali afu jioni shughuli[emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]alishona pensi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]ukafanyaje?!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Hahaha!pole sana..I can imagine yaani mafundi wabongo ht km hajui hasemi atakuharibia tu mradi nafsi iridhike baasi na hapo ushamlipa yaaniNikavaa jeans tuu chini black
Sikushauri best tafuta wa low key kwanza bei zao ni ndogo lakini pia wanazingatia ubora wa kazi na wako punctually hawa maarafu may b kama wewe ni maarufu!!Mh hatari Sana,, Kuna shughuli muhimu itakuwa mwanza mwezi ujao nilikuwa nawaza kutafuta mtu wa picha ambae Ni maarufu kumbe ningebugi, sijui nitafanyaje kwa hali hii jamani[emoji25]
Nilitafta wa low-key ikala kwangu hii tabia nadhani ni wapiga picha wengi shoga angu naye walimharibia picha za harusiSikushauri best tafuta wa low key kwanza bei zao ni ndogo lakini pia wanazingatia ubora wa kazi na wako punctually hawa maarafu may b kama wewe ni maarufu!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mastaa wenyewe huwa hawana hata hela basi ujinga wa hawa watoa huduma.Halafu hao mastaa unakuta wanakopa. Wasanii wenyewe apeche tu bora hawa mwenzangu na mimi.
Yes na huku Dar wapiga picha ni jina tu ila ubora ni changamotoDaahh!poleni sana mimi nafanya kazi Na yoyote yule mradi tu yuko vzr baasi
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app