Asante sana kwa kunisanua ningekoma aisee,, mi sio maarufu na sipendi mambo hizo napenda vitu simple tu,Sikushauri best tafuta wa low key kwanza bei zao ni ndogo lakini pia wanazingatia ubora wa kazi na wako punctually hawa maarafu may b kama wewe ni maarufu!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Hakika kabisa jina tu ubora sifuri!Yes na huku Dar wapiga picha ni jina tu ila ubora ni changamoto
Hivi wana shida gani?kama wehu...!!!yaani mi kuna mmoja nampaga kazi kwa watu anafanya poa Sana'a...kwangu mpk anatufutwa tena na tena...kwangu sasa video mpk Leo hajaleta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]Nilitafta wa low-key ikala kwangu hii tabia nadhani ni wapiga picha wengi shoga angu naye walimharibia picha za harusi
Wengi nadhani ni shule ndogo na hawana exposure Mimi Kuna wapiga picha was chugga huwatafta na huwa nagharamia wako humble kazi zao nzuri huwa wanaendaga kupiga picha Hadi Nairobi na hawana longolongo hao vijana ila Hawa was Dar hamna kituHivi wana shida gani?kama wehu...!!!yaani mi kuna mmoja nampaga kazi kwa watu anafanya poa Sana'a...kwangu mpk anatufutwa tena na tena...kwangu sasa video mpk Leo hajaleta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Ni ujinga tuu unawasumbuaWengi nadhani ni shule ndogo na hawana exposure Mimi Kuna wapiga picha was chugga huwatafta na huwa nagharamia wako humble kazi zao nzuri huwa wanaendaga kupiga picha Hadi Nairobi na hawana longolongo hao vijana ila Hawa was Dar hamna kitu
Wanadharau sana yani wangese hao! Ni kama Dicksound mastaa anawapet peti ila kajamba nan analeta dharau kishenzi
Uko serious au unachangamsha mada tu, kazi unafanyia wapi? Mi itakuwa mwanza utaweza kuja na Ni bei gani?, nimeuliza hapa hapa jukwaani ili na wengine waoneNext time wazee kwa yeyote anayetaka mtu wa kupiga picha au video just hook me up.
Tutafanya deal nzuri.
Kuna wengine walipewa kushoot kazi ya Dada yangu, baadae kazi ikawa mbovu halafu wakataka kuleta majibu ya kijinga.Sio title mtu unaye muamini tena kijana mwenzako una mpa deal Sasa utendaji kazi wao sio wakiuaminifu. Nikiwa na shughuli nitakuwa naalika wa mkoani wanaoendaga Hadi Kenya camera zao quality na hutumia Hadi drones na zile light tofauti na huku Dar Hawa vijana wa kiswahili hawana business mind hawafikirii kesho
Nick umekuja mwenyewe acha janja janja acha kazi mbovuSo namfahamu NICK, aliwahi kufanya Wedding ya Rafiki yangu mwaka huu hapo Dar es Salaam. ALIFANYA KAZI HIYO KWA UBORA NA UAMINIFU
Nilipoona hii post niliamua kumtafuta sikumpata, lakini rafiki yangu ambaye alifanya naye kazi alimpata na kumuuliza kuhusu Uzi huu ulioweka.
Ndugu, uzi wako una kasoro na viashiria kwamba UNATAKA TU KUMCHAFUA NICK KWA SABABU ZAKO. Kasoro hizo ni;
1. Huelezi Nick kakukosea nini haswa. Uko too general husemi ulichofanywa.
2. Umetanguliza kujihami kwingi kwamba huandiki kwa nia mbaya, ilinipa hofu kuona kwamba unaweza kuwa na nia mbaya. Umemaliza pia kwa kusema utaletewa povu, why uletewe povu kweny jambo hilo?
Nicki amejieleza na kuomba wanajamvi wapime mambo yafuatayo:
1. Yeye sio biashara ya mtandaoni ambayo mtu anaweza kupata tabu kuifahamu. YEYE NI KAMPUNI, INA OFISI ZAKE ZIKO SINZA. Hivyo kama kweli una malalamiko kwake, ni rahisi kabisa kumkamata na kufungua kesi. So fara Ofisni kwake hakuna malalamiko ya hivyo unavyosema kwamba eti unashindwa kumpeleka mahakamani.
2. Nicki anahusisaha suala hili na vita za kibiashara kwa sababu YEYE ANAJITANGAZA SANA NA KUTOA HUDUMA KWA BEI NAFUU jambo ambalo washindani wake kwenye biashara linawakera sana. Mnaungana kumpiga vita.
3. Nicki amehusisha hili na TUZO, mnajua wenyewe mambo yenu ya tuzo ambazo mwaka jana Nicki alishinda. Mwaka huu tena yuko Nominated, hivyo kuelekea tuzo hizo mmeanza kuwekeana fitna.
MSICHAFUANE, MWENYE MALALAMIKO YA KWELI TUAMBIE ULIFANYWA NINI, NICKI YUPO OFISNI KWAKE TUELEZE KWA NINI HUJAMKAMATA?
Uzi wako una dalili zote za chuki za kibiashara, umekosa mashiko na ukweli wa hoja. ACHA.
Tatizo lako ni mvivu wa kusoma alafu unajiona mwenye akili kumbe mjingaNaona wote huko juu mna andika taarabu tu na hamsemi ni kipi mlicho fanyiwa tujue.Mki ulizwa mlifanyiwa nini mna jibu vingine tu...kuna mdau hapo juu kauliza swali la msingi [emoji116]
Umelipa hujapewa picha? Picha zmepigwa vibaya? Baadhi ya vitu kama Tv Screens setups hazikuwepo ukumbini?
Lakini still mna lalamika bila reasonable point semeni hayo matatizo[emoji35]
Tatizo hii biashara imevamiwa baada ya kuonekana Ina hela, kwa hiyo wengi hawana ethics na hawana customer care nzuriSio title mtu unaye muamini tena kijana mwenzako una mpa deal Sasa utendaji kazi wao sio wakiuaminifu. Nikiwa na shughuli nitakuwa naalika wa mkoani wanaoendaga Hadi Kenya camera zao quality na hutumia Hadi drones na zile light tofauti na huku Dar Hawa vijana wa kiswahili hawana business mind hawafikirii kesho
Nipo serious.Uko serious au unachangamsha mada tu, kazi unafanyia wapi? Mi itakuwa mwanza utaweza kuja na Ni bei gani?, nimeuliza hapa hapa jukwaani ili na wengine waone
Bora mlikomaa Hawa wahuni hawajali shughuli muhimu za watu shida ni fani kuvamiwa na wahuni so wao wanajali hela bila kujali quality serviceKuna wengine walipewa kushoot kazi ya Dada yangu, baadae kazi ikawa mbovu halafu wakataka kuleta majibu ya kijinga.
Kuna kaka yetu mkubwa , Eng.PETRO wakati huo alikuwa ni Zonal manager wa SUMA JKT kanda ya siwa akaamua kulivalia njuga. Walipigwa mkwara mmoja tu mixer kutumiwa ma-MP ofisi I kwao, walitema hela zote na nyongeza ya kumpotezea muda.
Bila mkataba wowote.
Yes imevamiwa na wahuni kila mtu akijua kununua camera na kupiga basi kamaliza Sasa picha nyingine ni mbovu heri hata ya simuTatizo hii biashara imevamiwa baada ya kuonekana Ina hela, kwa hiyo wengi hawana ethics na hawana customer care nzuri
Mwanza Kuna wapiga picha wazuri na sio matapeli ka bongo daslamUko serious au unachangamsha mada tu, kazi unafanyia wapi? Mi itakuwa mwanza utaweza kuja na Ni bei gani?, nimeuliza hapa hapa jukwaani ili na wengine waone
Haina neno, tutajadili tuafikiane, shukrani sana kwa kunijibu vizuriNipo serious.
Ofisi ipo Dar. Kwa nje ya Dar itapendeza kama nauli itakua juu ya mteja.
Fursa ya Mwanza itakua ya kwanza kwetu kuifanya inayohusu sherehe nje ya Dar (Tulifanya ya kua shot takers wa behind the scene wa tangazo la kampuni moja maarufu)
So nafikiri kwa ulipo inabidi tukae chini na kubargain au?
Kama Kuna unaefahamiana nae aliye makini na kazi yake niunganishie basi, kashughuli ni kadogo tu ila kenye kuhitaji kumbukumbu na kumbukumbu nzuri inapatikana kwenye picha/videoMwanza Kuna wapiga picha wazuri na sio matapeli ka bongo daslam
Okay ngoja nikupe contact za hao kaka walichukua video shughuli ya ndugu yangu wako vizuriKama Kuna unaefahamiana nae aliye makini na kazi yake niunganishie basi, kashughuli ni kadogo tu ila kenye kuhitaji kumbukumbu na kumbukumbu nzuri inapatikana kwenye picha/video
Nakutumia pm message haziendiKama Kuna unaefahamiana nae aliye makini na kazi yake niunganishie basi, kashughuli ni kadogo tu ila kenye kuhitaji kumbukumbu na kumbukumbu nzuri inapatikana kwenye picha/video