Mnaotamani Mbowe aachie uenyekiti, mnaweza kuja kumkumbuka ikitokea anarithiwa na kiongozi mwingine ambae hatokubali kuvumilia uonevu huu unaondelea

Hecha apingwa!
 
ngoja waje kina Savimbi, Kone, nk ndiposa watajuta kumfitini gentleman Mbowe!
 
Vibaraka wa mbowe mnahaha kumlinda bwana wenu
Eti unajaribu kututisha atatokea kiongozi asiekubali uonevu,kama umikiri mbowe anakubali uonevu,basi hafai
 
Missile of the Nation huyu ndio Mbowe ambae niliwahi sema siku akitoka madaraka, CCM watamkumbuka kwa busara zake.
 
Pandikizi Ni Sumaye

Ila Mbowe Apumzike Inatosha.

Umbogo Wa Mbowe Ndio Umetufikisha Apa Tulipo.

Kuna Watu Makini Ndani Ya Chadema Tundu Lissu, John Heche Na Wengine Wasio Na Makando Kando Ya Tuhuma !

Magufuli Anahitaji Mtu Aina Ya Lissu.
Siku si nyingi yatatimia labda Lissu asipate uenyekiti, Uzuri tuliwaonya tangu siku nyingi.
 
Sasa kwa CCM ilipofikia ndio inatakiwa mwenyekiti CHADEMA wa aina hii, hakuna tena mambo ya upole kwa wahuni!!!.
 
Lucas Mwashambwa niliwaambia siku nyingi kuwa kuna siku mtamkumbuka. Leo hata kabla Lissu hajakabidhiwa ofisi rasimi, mmeanza kulialia.

Lissu sio Mbowe na m,sisahau wananchi wamewachoka tena sana kwahiyo anahitajika tu mtu wa kumwagia petroli kwenye moto unaowaka.

Ukipanda bangi, huwezi vuna mahindi.
 
Umetwist maneno yako ulikua timu mbowe ghafla ukabadili gia angani
 
Pandikizi Ni Sumaye

Ila Mbowe Apumzike Inatosha.

Umbogo Wa Mbowe Ndio Umetufikisha Apa Tulipo.

Kuna Watu Makini Ndani Ya Chadema Tundu Lissu, John Heche Na Wengine Wasio Na Makando Kando Ya Tuhuma !

Magufuli Anahitaji Mtu Aina Ya Lissu.
Hatimaye unabii mezani.
 
Jf Ya Maono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…