Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Nashangaa mnaowasakama wajawazkto na kusema wanajidekeza sijui wajifunze kuchagia huduma, wapuuzi kabisa!
Huwa hamuoni mabilioni ya pesa yanavyotafunwa na kuripotowa kila mwaka lakini hakuna hatua inayochokuliwa? Kwani hamjui kama hizo ni kodi zetu na ndio wanasababisha huduma kuzorota?
Pia soma: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani
Kodi zetu zingekuwa zinatumika kama inavyostahili tusingekuwa tunalalamika huduma mbovu kila sehemu.
Mbaya zaidi chalamila siyo mara ya kwanza kuongea kauli za ukakasi dhidi ya wananchi utafikiri hakuna sheria na taratibu za kusimamia na kuendesha vitu.
Pia soma: Kauli tata za RC Chalamila kwenye matamko mbalimbali nchini
Tuna uwezo wa kufanya huduma nyingi ziwe bure na kutolewa kwa kiwngo cha juu lakini rushwa, ufisadi na ubadhirifu ndio unaosababisha tupate huduma mbovu.
Rais Samia usipomtumbua huyo mpuuzi utakuwa umeendelea kubariki aendelee kutumia madarake yake vibaya, wananchi wakichoka watadeal naye kwa njia wanayoona inafaa!