Mnaotetea Chalamila ripoti za CAG huwa hamzioni? Rais Samia usipomtumbua umebariki unyama huo kuendelea

Mnaotetea Chalamila ripoti za CAG huwa hamzioni? Rais Samia usipomtumbua umebariki unyama huo kuendelea

Vipaumbele v
Vifaa kwa mama wajawazito au goli la mama? 😂😂
 
Sababu za msingi hasa zinazo sababisha kuchelewa ni nini?
Je hayo matatizo ya ukosefu au ucheleweshaji wa vifa tiba unaweza ukuta Regency, TMJ, Aga Khan na hospital zingine?
Ili kuepuka Urasimu Na ufujaji wa Pesa za Serikali..
Iliwekwa Hatua kadhaa za Kufuata za Kimanunuzi ya Bidhaa zote..
Kama Kuwepo kwa Signatories, kuwepo kwa Mshitiri Kuandika madokezo ambayo yatapitia Hatua Fulani kabla Ya Kuandika Voucher ya Malipo na Kabla ya Kuandika Cheque..

Ni hatua ambayo kama Ikifanywa kwa Usahihi unaweza Ikachukua Wiki Kufanyika..

Sasa kulinganisha TMJ,Aga khan na Hospitali za Serkali sio sawa..aga khan muhasibu anaweza akaamua Kuchukua Pesa na Kwenda kununua Dawa au Kifaa Kinachokosekana Bila Kikao cha Wajumbe ila akatoa taarifa tu ila kwa Hospitali ya serkali haiwezekani
 
Back
Top Bottom