Na kwa mtindo huo utaumiza watu wengi sana.Huu utawala sasa hivi uko kwenye survival mode unarunsha ngumi hewani yeyote itakayompata ndiye huyohuyo.
Swali zuri sanaHuyu ni nani na aliandika nini wakati wa kampeni?
Na kesi ya uhaini imemfikaje
Kabisa, umeanza kuwa kama utawala wa Assad wa SyriaNa kwa mtindo huo utaumiza watu wengi sana.
Mwandishi wa habari wa Millard Ayo.Huyu ni nani na aliandika nini wakati wa kampeni?
Na kesi ya uhaini imemfikaje
Ok,acha yamfike,hata Millard ajiandae kusalimiwaMwandishi wa habari wa Millard Ayo.
The last kick of a dying horse.Huu utawala sasa hivi uko kwenye survival mode unarunsha ngumi hewani yeyote itakayompata ndiye huyohuyo.
Kutoka katikati ya mtima wa moyo wangu. Nimefurahi kuona una post na pia kuanzia leo nakuhsehimu sana sister na sitakuita tena u mwanaume na tapeli na winga.Tumefika pazuri kila mmoja kaguswa wamebaki vichaa wachache nao sio muda tutaongea lugha moja..!!