Mnaotetea mkidhani mpo salama jifunzeni kwa huyu jamaa

Kutoka katikati ya mtima wa moyo wangu. Nimefurahi kuona una post na pia kuanzia leo nakuhsehimu sana sister na sitakuita tena u mwanaume na tapeli na winga.

Tarehe 29 umefanya mambo makubwa sana kuingia barabarani. Umewashinda hata wanaume akina Lucha .

Hongera sana sister.
Dogo utajipendekeza tena kuuza madafu ikulu?
 
Kutoka katikati ya mtima wa moyo wangu. Nimefurahi kuona una post na pia kuanzia leo nakuhsehimu sana sister na sitakuita tena u mwanaume na tapeli na winga.

Tarehe 29 umefanya mambo makubwa sana kuingia barabarani. Umewashinda hata wanaume akina Lucha .

Hongera sana sister.
Kwani toka umeanza kuniita kuna siku hata moja nilishindwa kupata oksijeni?? 😹😹

Humu ndani sijawahi kuwachukulia serious lakini kwenye issue zinazohusu haki, uzalendo na kujitoa kwa wengine huwa sifikirii mara mbili..!!
Nipo hivyo kwenye maisha yangu ya JF mpk halisi..
 
Hongera bosi. Nimefurahi kuona upo hai maana uliandika humu kabisa upo barabarani.

Much love and respect kwako.
 
Shetani anakushawishi ule mke wa mtu na siku ukikamatwa anamshawishi jamaa akufile

Huo ni mfano rahisi wa kuelewa shetani hana rafiki

Universal ethical principles
😂😂😂Nimecheka kama mazuri
 
Huyu mwamba pamoja na kuandika taarifa za kampeni za CCM wakati wa kipindi cha kampeni amefunguliwa mashtaka ya uhaini.

Kwa mnaotetea mfumo wa ukandamizaji mkidhani haitawakuta, siku yenu itafika. Utakamatwa ukiendesha bodaboda yako kwa kosa kidogo tu la barabarani, na utapigwa na kutupwa huko, au ufunguliwe mashtaka ya ajabu. Endelea kutetea tu.

View attachment 3499095

..huyu jamaa sio muandishi wa habari wa arusha?
 
Shetani anakushawishi ule mke wa mtu na siku ukikamatwa anamshawishi jamaa akufile

Huo ni mfano rahisi wa kuelewa shetani hana rafiki

Universal ethical principles
Kama hata wewe umeanza kuelewa basi darasa liko patamu.
Bado Lucha
 
Back
Top Bottom