Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Wanawake ndo wenye matumizi makubwa ya mbs wewe sijui inakuaje.Matumizi Yangu ni GB 2 hadi 3 kwa siku
Hivi vitu huwa natumia bila kujibana
- Youtube
- kudownload muvi, mziki, documentary, n.k.
- browsing
Situmii TIKTOK, ina uraibu mkubwa sana na inapoteza muda sana.
Hapo nina shughuli zangu sio kusema kwamba ninashinda mitandaoni, ikitokea siku nimeshinda mtandaoni basi inaweza kufika 7 GB
Siangalii pilau jamani,