Wanawake ndo wenye matumizi makubwa ya mbs wewe sijui inakuaje.Matumizi Yangu ni GB 2 hadi 3 kwa siku
Hivi vitu huwa natumia bila kujibana
- Youtube
- kudownload muvi, mziki, documentary, n.k.
- browsing
Situmii TIKTOK, ina uraibu mkubwa sana na inapoteza muda sana.
Hapo nina shughuli zangu sio kusema kwamba ninashinda mitandaoni, ikitokea siku nimeshinda mtandaoni basi inaweza kufika 7 GB
Siangalii pilau jamani,
Uzi tyrMatumizi Yangu ni GB 2 hadi 3 kwa siku
Hivi vitu huwa natumia bila kujibana
- Youtube
- kudownload muvi, mziki, documentary, n.k.
- browsing
Situmii TIKTOK, ina uraibu mkubwa sana na inapoteza muda sana.
Hapo nina shughuli zangu sio kusema kwamba ninashinda mitandaoni, ikitokea siku nimeshinda mtandaoni basi inaweza kufika 7 GB
Siangalii pilau jamani,
KweliiiSimu n chanzo kingne cha umaskin kwa watu wengi kama mtu akishindwa kujithibiti
Mitandao ya kijamii inaurabu sana kama ilvyo pombe,zinaa,punyeto nk
Mtu anaweza tumia hata 100,000+ kwa mwez kama bando na hakuna cha maana anafanya huko.
Kifupi hatufeel maumivu ya hyo lak sababu tunajiunga buku,buku3 kila mara kwa mwez ukijumlsha n pesa mingi
Natoa rai,kwa kila mmoja humu awe na uthibiti kinapokuja swala la matumiz ya mitandao…ukiachiliambali fedha,inapoteza muda,umakin na utulivu
Kweliii mi nimeamua kujiwekea limits sio tu kubhana matumizi laikini pia kunipunguzia uraibu...unaweza download apps inaitwa stay free hii itakuwa inakukukumbusha muda ambao umeshika Simu kwa siku nzima.Simu n chanzo kingne cha umaskin kwa watu wengi kama mtu akishindwa kujithibiti
Mitandao ya kijamii inaurabu sana kama ilvyo pombe,zinaa,punyeto nk
Mtu anaweza tumia hata 100,000+ kwa mwez kama bando na hakuna cha maana anafanya huko.
Kifupi hatufeel maumivu ya hyo lak sababu tunajiunga buku,buku3 kila mara kwa mwez ukijumlsha n pesa mingi
Natoa rai,kwa kila mmoja humu awe na uthibiti kinapokuja swala la matumiz ya mitandao…ukiachiliambali fedha,inapoteza muda,umakin na utulivu
Kweliii mi nimeamua kujiwekea limits sio tu kubhana matumizi laikini pia kunipunguzia uraibu...unaweza download apps inaitwa stay free hii itakuwa inakukukumbusha muda ambao umeshika Simu kwa siku nzima.