Mnaotumia glycerine hivi mmezeeka kama mimi?

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
4,208
Reaction score
14,143
Nimekuwa nayatumia haya mafuta huku sehemu ya baridi. Lakini leo nimejiangalia kwenye kioo nimekuta ngozi ya uso haifurahishi na imetoka vidoa vyeusi!

Je, mnaotumia nanyi mnasemaje?
 
Kubali tu ndugu kuwa wewe sasa ni mzee. Wakati ni ukuta
 
Wewe Ni mwanachama wa CHAPUTA?
Katika mafuta yaliyoidhinishwa na CHAPUTA glycerine haimo.
 
Shukrani kaka asante kwa kuelewa tatizo langu

Maana wengine wamejaa kejeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…