Mnaotumia glycerine hivi mmezeeka kama mimi?

Mnaotumia glycerine hivi mmezeeka kama mimi?

Achana na glycerine,tumia hata mafuta ya maji,kama Minara,Parachute sijajua kama ni mazuri,siwezi kukushauri utumie labda kwa wanaoyajua.

Shukrani mkuu ngoja nijaribu.
 
Kuna mdau humu alinishauri nisipake glycerine usoni, alisema inazeesha.
 
Ni kweli umri umesogea kaka ila nadhani hata mafuta
Usipake glycerin kwa uso
Yanaunguza yanafanya ngozi inakuwa nzito..
Tumia Vitamin E ukichanga na lotion isiyo na kemikali mfano Shear butter…
Vaseline pia nzuri kwa mwili
 
Back
Top Bottom