Black BackUp
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 717
- 666
Ndugu mteja tunaomba yako tafadhali kwa msaada zaidi.Kuna account moja humu JamiiForums ya TTCL niliweka comment nikasema kwa muda wa siku 3 nimetumia elfu 30. Yaani ilikuwa 10,000 kwa mwezi mzima sasa jamaa nikiweka 10,000 siku ya pili haipo. Kuna mtu kuiona comments yangu akaanza kubwata na TTCL wenyewe wametaka niwapigie simu wakati huo mimi nilikwenda mpaka ofisi kuu yao, sasa kwa simu nipige itasaidia nini?
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Una ushahidi?Bando zenu zitatumika kufadhili kampeni za CCM.
Ndio, ninao, je unataka nikupe kilo ngapi za ushahidi?Una ushahidi?
Weka hapa huo ushahidi.Ndio, ninao, je unataka nikupe kilo ngapi za ushahidi?
Zaidi ya TTCL je Ni kampuni gani nyingine inayopeleka gawiwo kwa serikali ya CCM?Weka hapa huo ushahidi.
Tupo kwenye maboresho mkuu. Natumaini utafurahia huduma za TTCL.