Mnaotumia Voda, Tigo ama Airtel katika bando, vipi huko hali ikoje maana TTCL bando halikai kabisa

Mnaotumia Voda, Tigo ama Airtel katika bando, vipi huko hali ikoje maana TTCL bando halikai kabisa

Mkiambiwa hamieni Zantel mnakaza ubongo! Mie niko huku ila nikiwa mkoani hailiki ila kwa hapa Dar kuna uhuni wamefanya. Matumizi yangu ni yale yale ila hapa DSM bando huwai kuisha liwe la data au simu.

"BAO Dar" ni ufisadi 😂😂😂 na limit ni siku 3 ambazo huzmalizi pia.
 
Mkiambiwa hamieni Zantel mnakaza ubongo! Mie niko huku ila nikiwa mkoani hailiki ila kwa hapa Dar kuna uhuni wamefanya. Matumizi yangu ni yale yale ila hapa DSM bando huwai kuisha liwe la data au simu.

"BAO Dar" ni ufisadi [emoji23][emoji23][emoji23] na limit ni siku 3 ambazo huzmalizi pia.
Pole sana, rudi nyumbani kumenoga.
 
Husiku na kichwa cha habari hapo juu,

Nimekua mteja wa TTCL muda sasa toka nilipoanza kutumia yapata miaka kadhaa. Mabadiliko mengi yakatokea mimi nipo tu. Kwa mabadiliko haya ya gharama za data zao naamini watampoteza mteja mmoja.

TTCL mna threads zenu humu ndani (JF) namna mtaboresha huduma zenu/kuomba maoni mbalimbali kwa wateja wenu. Fanyieni kazi maoni ya wateja wenu.

Asante
Rudi nyumbani kumenoga.ni sawa na mtu kukuambia Rudi CCM.
 
Love it live.. saizi yako.. mtandao wa tigo upo smart sana.. napenda walivyo na uhunifu..

Mkuu kuna bando nzuri pia huku.
Husiku na kichwa cha habari hapo juu,

Nimekua mteja wa TTCL muda sasa toka nilipoanza kutumia yapata miaka kadhaa. Mabadiliko mengi yakatokea mimi nipo tu. Kwa mabadiliko haya ya gharama za data zao naamini watampoteza mteja mmoja.

TTCL mna threads zenu humu ndani (JF) namna mtaboresha huduma zenu/kuomba maoni mbalimbali kwa wateja wenu. Fanyieni kazi maoni ya wateja wenu.

Asante
 
Halotel naona wana nafuu kidogo japo speed ndio shida.
halotel nafuu sanaa kuhusu speed nimeona tofauti kubwa sana kati ya simu kama tecno (mara nyingi kwa halotel speed ya internet huwa ndogo na sometime hupati data kabisaaaa) ila laini hiyohiyo ya halotel ukiiweka kwenye samsung origional au nokia origional weeee unapata speed nzuri tu
 
halotel nafuu sanaa kuhusu speed nimeona tofauti kubwa sana kati ya simu kama tecno (mara nyingi kwa halotel speed ya internet huwa ndogo na sometime hupati data kabisaaaa) ila laini hiyohiyo ya halotel ukiiweka kwenye samsung origional au nokia weeee unapata speed nzuri tu
Maybe inategemea na maeneo. Huku kwetu hata uweke kwenye simu gani speed bado ni issue.
 
Back
Top Bottom