Mnaotumia Voda, Tigo ama Airtel katika bando, vipi huko hali ikoje maana TTCL bando halikai kabisa

Mkuu, kampuni zinazotoa gawio kwa serikali.
Ukiachana na TTCL kutoa gawio kwa serikali, kampuni nyingine ni Airtel.
Airtel inamioikiwa na serikali partially, wao wanatoa dividend, sehemu ya faida kutokana na hisa ambazo serikali imewekeza. Kila mwanahisa hupata dividend.
TTCL haina shareholders,, ile kwa 100% Ni Mali ya CCM.
 
braza juzi nilijiunga kifurushi cha GB 7 cha mwezi na laini yao huwa naweka tu pale napotaka kutumia mb.kituko kilikuja kabla sijatoa laini huwa naangalia kiasi cha Mb zilizobaki,nlikuwa na GB 6.5 zilizobaki na ushahidi wa msg ninao wa salio,sasa nikatoa line jana naweka line nikataka kudownload kitu cha Mb30 mida ya saa tano asubuhi,

sms ikaja eti huna salio la kutosha nlipanic hatari ikabidi niwapigie huduma kwa wateja...daah YAANI NIKAAMBIWA UMETUMIA GB nyingi MIDA YA SAA 4 ASUBUHI WAKATI LINE NIMEIWEKA SAA TANO ASUBUHI?

Daah nlichoka nikawaambia hebu angalia hii line imkuwa hewani muda gani toka sasa?akabaki anacheka tu na kuniambia ndugu ndio hivyo umetumia mb nyingi muda huo...

Ila kitendo cha kucheka tu nikawa nimeshapata jibu kinachoendelea TTCL...

TTCL MNAZINGUA SANA YAANI HAMNA MTU ATAKAE KUBALI HUU UJINGA WENU
 
Pole sana ndugu mteja.
 
Pole sana ndugu mteja.
wawe wanaangalia namna ya kulinda brand yao kwa mistake zao,kuliko kuwakarahisha wateja mpaka kupelekea kumfukuza mtu kurudi kwenye mitandao mingine...pia wajue vifurushi vyao havina tofauti na tigo wala voda kwa gharama

Hivyo wasijidangaye kwamba itakuwa ngumu watu kuwakimbia..maana kwa na namna yoyote hawawezi kuifika voda wala tigo ikiwa kila kitu wanafananao..tena wenzao wanajitahid Bando za internet hazikati kiboya boya kama wao
 
Shukrani kwa maoni yako mkuu.
Nilipata muda nitaonana na menejementi yao ili niwasilishe malalamiko yenu.
 
Raha ununue vifurushi vya wiki au mwezi lakini vifurushi vya 24/hrs hasa kwa internet ni vimeo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…