Mnaotumia Voda, Tigo ama Airtel katika bando, vipi huko hali ikoje maana TTCL bando halikai kabisa

Mkiambiwa hamieni Zantel mnakaza ubongo! Mie niko huku ila nikiwa mkoani hailiki ila kwa hapa Dar kuna uhuni wamefanya. Matumizi yangu ni yale yale ila hapa DSM bando huwai kuisha liwe la data au simu.

"BAO Dar" ni ufisadi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ na limit ni siku 3 ambazo huzmalizi pia.
 
Pole sana, rudi nyumbani kumenoga.
 
Rudi nyumbani kumenoga.ni sawa na mtu kukuambia Rudi CCM.
 
Love it live.. saizi yako.. mtandao wa tigo upo smart sana.. napenda walivyo na uhunifu..

Mkuu kuna bando nzuri pia huku.
 
Halotel naona wana nafuu kidogo japo speed ndio shida.
halotel nafuu sanaa kuhusu speed nimeona tofauti kubwa sana kati ya simu kama tecno (mara nyingi kwa halotel speed ya internet huwa ndogo na sometime hupati data kabisaaaa) ila laini hiyohiyo ya halotel ukiiweka kwenye samsung origional au nokia origional weeee unapata speed nzuri tu
 
Maybe inategemea na maeneo. Huku kwetu hata uweke kwenye simu gani speed bado ni issue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ