Washawapa taarifa chap wana disconnected wakifika hamna kituCha bure gharama
Kama VISHOKA WALIWAUNGA WAKAWADANGANYA
TANESCO WAMEANZA MSAKO WA NYUMBA KWA NYUMBA
MAENEO TAJWA
NA SASA HUKO MWANZA NAKO KUMEKUCHA MJIPANGE WANATEMBEA NA MAPOLISI
Tafuta chimbo lako ulambe asali kimya kimya
nchi hii kuiba sio kosa
Na huo ndio ukweliTafuta chimbo lako ulambe asali kimya kimya
Tunaiga viongozNa huo ndio ukweli