Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
🤣 mkuu kuna watu wana umri mkubwa hapo kkoo kushinda skudu na wanatupa furaha wana kkoo,kwa makolo huko kuna mtu ana 44 lkn kwenye pasi ana 29 🤣Miaka 33! Hapa wananchi tumecheza kamari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 mkuu kuna watu wana umri mkubwa hapo kkoo kushinda skudu na wanatupa furaha wana kkoo,kwa makolo huko kuna mtu ana 44 lkn kwenye pasi ana 29 🤣Miaka 33! Hapa wananchi tumecheza kamari.
Nafasi ngapi kajaribu kufunga kashindwa???Mara ngapi Chama anapata mpira kamchenga hadi kipa yupo yeye na goli lakini unaona anatoa assist?
Chache
Kwa hiyo kafanya makusudi kukosa kwa kua yeye anapenda sana kutoa assist??Chache
Kumbe wakati mwingine ni heri pia kuwa na mchezaji mwenye umri wa kweli, kuliko wale wenye umri wa kwenye passport.🤣 mkuu kuna watu wana umri mkubwa hapo kkoo kushinda skudu na wanatupa furaha wana kkoo,kwa makolo huko kuna mtu ana 44 lkn kwenye pasi ana 29 🤣
Cheki huyuKwa hiyo kafanya makusudi kukosa kwa kua yeye anapenda sana kutoa assist??
Mbona unajitekenya halafu unacheka??
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Jikite kwenye hojaCheki huyu
Kipaumbele cha kwanza cha Mchezaji ni kutoa Assist, hiyo ndio interest yake.
Kufunga ni second option tu.
Mbona hujiulizi kwanini Chama kuna mida alikuwa anacheza maeneo yote hadi beki anashuka kukaba wakati yeye ni Attacking Midfielder?
Lakini ana magoli sawa na Mayele tegemeo pekee la Yanga linalokwenda kupoteza matumaini ya klabuSimba wenyewe wamemsajili Saido ana 40+
Kwa kutumia hoja yako, Unataka kusema kwakua Yanga kabeba ubingwa inamaanisha wachezaji wake wote ni bora kuliko wachezaji wengine walioshiriki ligi kuu ya NBC?Lakini chama hajaissidia timu ya Simba kushuka bridge. Mnamwita bonge la mchezaji ilhal timu aliyokuwa akiitumikia imeshuka daraja!!
Kweli kasoro Mzee kikwete na mzee Manala
Kwamba hizo takwimu unazotaka kujivunia huyu wa huku hawezi kuzifikia?Weka na takwimu zake akiwa Simba
Kabisa..haweziKwamba hizo takwimu unazotaka kujivunia huyu wa huku hawezi kuzifikia?
Itunze hii...!!Kabisa..hawezi
Mpira una uwanja mpana sana
Saido 36 G/A msimu uliopita unazijua haya tuwekee G/A za skudu msimu uliopitaMbona unakua mgumu kunieleza umri wa saidoooo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Saidoo ajakakamaa kama huyu Sukulubu😂😅Vipi kuhusu saidoo Ntibazonkiza ana miaka mingapi???
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kaka tukiondoa unafki, huu ndio ukweli. Nimeshangazwa sana na huu umri mzee mwenzangu.Miaka 33! Hapa wananchi tumecheza kamari.
Simaanishi assist moja ya SPL ni sawa na 6 za NBC PL. Ila league ya south ni ya viwango vya juu kuliko NBC PL.Saido 36 G/A msimu uliopita unazijua haya tuwekee G/A za skudu msimu uliopita
Tufunge thread
Ngoja tusubiri tuone. Maana kwa umri wake, halafu kucheza kiungo cha pembeni! Si mchezo. Hilo eneo linahitaji mchezaji mwenye kasi, lakini umri uwe haujaenda sana.Kaka tukiondoa unafki, huu ndio ukweli. Nimeshangazwa sana na huu umri mzee mwenzangu.
Haya jumlisha na kombe la maloose...Shirikisho halafu leteSimaanishi assist moja ya SPL ni sawa na 6 za NBC PL. Ila league ya south ni ya viwango vya juu kuliko NBC PL.
Kwa hyo thread isifungwe.
Mkuu 33 ya psl ni 26 npl,wazee kibao hapa bongo wala hata isikusumbue suala la umri,kuna mababu na wanakipasua haswa hapa nplKumbe wakati mwingine ni heri pia kuwa na mchezaji mwenye umri wa kweli, kuliko wale wenye umri wa kwenye passport.