KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Nilichokitoa hapa ni aibu natamani nimfate muuzaji aje tule wote haiwezekani aniuzie nyanya za kachumbari kumbe mimi nahitaji nyanya zakupikia!, nyanya inakimbizana na samaki kwenye sufuria ndo nini hiki sasa!.
angeniuliza unahitaji za kachumbari ama zakupikia angepungukiwa nini..?ðŸ˜
Na wengine kama mpo humu mjifunze, next time muuzaji akizingua namfata tuje kula sote aone ilivyo ngumu kula mchuzi mweupe hata supu haipo hivyo!