Mnaouza viungo vya mapishi muwe mnatuuliza maswali wateja wenu sio wote tunajua kupika!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Nilichokitoa hapa ni aibu natamani nimfate muuzaji aje tule wote haiwezekani aniuzie nyanya za kachumbari kumbe mimi nahitaji nyanya zakupikia!, nyanya inakimbizana na samaki kwenye sufuria ndo nini hiki sasa!.

angeniuliza unahitaji za kachumbari ama zakupikia angepungukiwa nini..?😠
Na wengine kama mpo humu mjifunze, next time muuzaji akizingua namfata tuje kula sote aone ilivyo ngumu kula mchuzi mweupe hata supu haipo hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…