Mnaovulia nguo ndani ya shuka, eti huwa mnaficha nini???

Ni ujinga/lack of confidence sijui au mchafu,ni kitu cha ajabu sana. Ni sawa tu na mwanamke anayevulia ndani ya shuka au kama ni usiku anadai uzime taa,lol..! Ni kuficha maupele/mabaka au kitu gani?
 
Yaani wewe uje na chupi yako unaivua kwa uhuru.. nikiiangalia naiona kabisa ni ya gharama kubwa... THEN MIMI NIVUE HADHARANI CHUPI/BOXER YA BUKU... Itakusanywa tu hamna namna
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] vua tu hadharani ndicho alichokubariki mungu .....sasa utafanyaje na uwezo wako ndio huo wa buku utajificha mpaka lini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenda una papunchi na msaliboko wewe maana hueleweki aisei..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…