Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaa,Hahahaaaa kuna mmoja alijifungia bafuni na komeo kabisa
Nikabaki heee hivi kuna kitu hapa!!!?
Seriously nilishangazwa
Umetongoza kwa ujasiri kabisa tongozo la kibabe, ukaeleweka baada ya muda sasa wakati muafaka wa kufanya relation iwe rasmi (rasmi ndio!! bila kwichi sio rasmi, sio wapenzi, bado ni wapenzi watazamaji)....siku ya kupewa vitu unatimba mahali yani mkanda tu ndo una ujasiri wa kuutoa, unatoa mkanda kiunoni unazama ndani ya shuka huko ndo utaanza kusaula sasa, unajificha ficha kama ka binti kabikra hivi kidume huoni aibu kufanya hivo? Yani unakua kama vibinti vya kijijini kanatamani mjulubeng ila kanajizungusha hadi kapigwe ngwara ndo katoe.....
Kwani ni nini kinafichwa? Kidogo sana? Likubwa sana? Kimepinda? Pmb kubwa sana ama ndogo kama za nyau? Hata kama!!! Kwani umeziumba wewe hadi uzihofie hivo, okay sawa labda una aibu si ujilipue hata na k vant akili zisafiri kidogo uwe huru, inakera!!!!! Mtaja pigwa ngwara na wanawake marijali
Heri ya mwaka mpya jf family.
We si make wa mtu, au ulinidanganya!Inashangaza, kwanza na akili zinahama kwa mgegedo unabaki kuwa curious kutaka kujua kilichofichwa, ufalah kweli
Alikutimba lakini alipotoka like seriously ujinga tu!Hahahaaaa kuna mmoja alijifungia bafuni na komeo kabisa
Nikabaki heee hivi kuna kitu hapa!!!?
Seriously nilishangazwa
Ili mtu uwe huru, tafuta wanabuku wenzio, au wanamatobo wenzio… KUKUSANYIA KWENTE SURUALI AU KUVULIA NDANI YA SHUKA, INAWEZA IKAWA NI ALAMA YA KWAMBA UNABEBWA/UNABEBA WALIO JUU YAKO KIUWEZO[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] vua tu hadharani ndicho alichokubariki mungu .....sasa utafanyaje na uwezo wako ndio huo wa buku utajificha mpaka lini
Sent using Jamii Forums mobile app
AU unafanya kama jezi… kuna kyupi ya mechi na ile isiyo ya mechi… ILA SEMA KUNA MECHI ZA KUSHTUKIZA... Unaitwa kwa mazungumzo au soda, unajikuta tu mechi hii hapa… !!! AHAHAHAHAHAHAHAAAA unaweza ugome mwanaume...Ukishagundua hivyo siku nyingine ya mpambano unazuka na picchu mpya na kuomba ajitoe rasmi team picchu matobo 😎
Muulize mhusika kwanza alafu ndoo ulete feedback kwa nini alikuwa anafanya ivoo .Umetongoza kwa ujasiri kabisa tongozo la kibabe, ukaeleweka baada ya muda sasa wakati muafaka wa kufanya relation iwe rasmi (rasmi ndio!! bila kwichi sio rasmi, sio wapenzi, bado ni wapenzi watazamaji)....siku ya kupewa vitu unatimba mahali yani mkanda tu ndo una ujasiri wa kuutoa, unatoa mkanda kiunoni unazama ndani ya shuka huko ndo utaanza kusaula sasa, unajificha ficha kama ka binti kabikra hivi kidume huoni aibu kufanya hivo? Yani unakua kama vibinti vya kijijini kanatamani mjulubeng ila kanajizungusha hadi kapigwe ngwara ndo katoe.....
Kwani ni nini kinafichwa? Kidogo sana? Likubwa sana? Kimepinda? Pmb kubwa sana ama ndogo kama za nyau? Hata kama!!! Kwani umeziumba wewe hadi uzihofie hivo, okay sawa labda una aibu si ujilipue hata na k vant akili zisafiri kidogo uwe huru, inakera!!!!! Mtaja pigwa ngwara na wanawake marijali
Heri ya mwaka mpya jf family.
Dah!!Mtu mwenye maaibu ya hivo mi kumfyatukia, unazunguka naked unainama kabisa aone hadi utumbo
Hebu tumalizie,_nini kilifuata baada ya kutoka huko mkuuHahahaaaa kuna mmoja alijifungia bafuni na komeo kabisa
Nikabaki heee hivi kuna kitu hapa!!!?
Seriously nilishangazwa
Tunaficha ili muwe na hamu ya kujua ukubwa na urefu wa mtarimbo.Umetongoza kwa ujasiri kabisa tongozo la kibabe, ukaeleweka baada ya muda sasa wakati muafaka wa kufanya relation iwe rasmi (rasmi ndio!! bila kwichi sio rasmi, sio wapenzi, bado ni wapenzi watazamaji)....siku ya kupewa vitu unatimba mahali yani mkanda tu ndo una ujasiri wa kuutoa, unatoa mkanda kiunoni unazama ndani ya shuka huko ndo utaanza kusaula sasa, unajificha ficha kama ka binti kabikra hivi kidume huoni aibu kufanya hivo? Yani unakua kama vibinti vya kijijini kanatamani mjulubeng ila kanajizungusha hadi kapigwe ngwara ndo katoe.....
Kwani ni nini kinafichwa? Kidogo sana? Likubwa sana? Kimepinda? Pmb kubwa sana ama ndogo kama za nyau? Hata kama!!! Kwani umeziumba wewe hadi uzihofie hivo, okay sawa labda una aibu si ujilipue hata na k vant akili zisafiri kidogo uwe huru, inakera!!!!! Mtaja pigwa ngwara na wanawake marijali
Heri ya mwaka mpya jf family.
Hapana mkuu ila nitathaminisha magegedo yao
Ila alikubokoa?