Mnaovulia nguo ndani ya shuka, eti huwa mnaficha nini???

Umetongoza kwa ujasiri kabisa tongozo la kibabe, ukaeleweka baada ya muda sasa wakati muafaka wa kufanya relation iwe rasmi (rasmi ndio!! bila kwichi sio rasmi, sio wapenzi, bado ni wapenzi watazamaji)....siku ya kupewa vitu unatimba mahali yani mkanda tu ndo una ujasiri wa kuutoa, unatoa mkanda kiunoni unazama ndani ya shuka huko ndo utaanza kusaula sasa, unajificha ficha kama ka binti kabikra hivi kidume huoni aibu kufanya hivo? Yani unakua kama vibinti vya kijijini kanatamani mjulubeng ila kanajizungusha hadi kapigwe ngwara ndo katoe.....

Kwani ni nini kinafichwa? Kidogo sana? Likubwa sana? Kimepinda? Pmb kubwa sana ama ndogo kama za nyau? Hata kama!!! Kwani umeziumba wewe hadi uzihofie hivo, okay sawa labda una aibu si ujilipue hata na k vant akili zisafiri kidogo uwe huru, inakera!!!!! Mtaja pigwa ngwara na wanawake marijali

Heri ya mwaka mpya jf family.

Wengi wanaficha ukurutu wao au hogo (mkono wa mtoto) kuhofia Evelyn Salt atakimbia baada ya kuona hali halisi.
 
Me hata kama mke wangu siwezi kujiachiachia tyu everytime,.. Ety Mara anishike tako langu, Mara tongo zangu.. Thubutuuu....
Acheeze kuanzia kichwani mwisho kitovuni...
 
Ni kweli ila sio wote,
Kuna wanawake wanajiamini hatari,
Unategemea awe na viaibu vya kike lkn wapii, mnafika tu ndani yeye ashasaula zote saa mingii wala hasubiri umvue wakati wengine twaona raha tukiwavua wenyewe,

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahaa unaremba ili iweje sasa

Au ndo kuku wako mwenyewe mtego wa nini!!!
 
Mimi ni me.

Sasa mkuu nahisi nina mgegedo mrefu sasa nataka nipime na hiyo iliyokugegeda nithaminishe. Samahani mkuu

Yaani mwanaume uthaminishe mgegedo wako na wa mwanaume mwenzio?
Halafu?
 
Umetongoza kwa ujasiri kabisa tongozo la kibabe, ukaeleweka baada ya muda sasa wakati muafaka wa kufanya relation iwe rasmi (rasmi ndio!! bila kwichi sio rasmi, sio wapenzi, bado ni wapenzi watazamaji)....siku ya kupewa vitu unatimba mahali yani mkanda tu ndo una ujasiri wa kuutoa, unatoa mkanda kiunoni unazama ndani ya shuka huko ndo utaanza kusaula sasa, unajificha ficha kama ka binti kabikra hivi kidume huoni aibu kufanya hivo? Yani unakua kama vibinti vya kijijini kanatamani mjulubeng ila kanajizungusha hadi kapigwe ngwara ndo katoe.....

Kwani ni nini kinafichwa? Kidogo sana? Likubwa sana? Kimepinda? Pmb kubwa sana ama ndogo kama za nyau? Hata kama!!! Kwani umeziumba wewe hadi uzihofie hivo, okay sawa labda una aibu si ujilipue hata na k vant akili zisafiri kidogo uwe huru, inakera!!!!! Mtaja pigwa ngwara na wanawake marijali

Heri ya mwaka mpya jf family.
Eti ndogo kama za nyau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom