Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Sasa wifi mbona unanitisha tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko huko ndani ya shuka anaibuka kafunga taulo kabisa, kama mwali wa kimakonde
Hahahaaaa kuna mmoja alijifungia bafuni na komeo kabisa
Nikabaki heee hivi kuna kitu hapa!!!?
Seriously nilishangazwa
Hamna wifi komaa nae pacha kwako kafika beiSasa wifi mbona unanitisha tena?
Heri kwako pia. (Nimeidandia, though)
Wewe ni je?
Kama ni ke njoo nikupunguzie
Kama ni Me! Something is wrong
Atakuwa na govi huyo.Umetongoza kwa ujasiri kabisa tongozo la kibabe, ukaeleweka baada ya muda sasa wakati muafaka wa kufanya relation iwe rasmi (rasmi ndio!! bila kwichi sio rasmi, sio wapenzi, bado ni wapenzi watazamaji)....siku ya kupewa vitu unatimba mahali yani mkanda tu ndo una ujasiri wa kuutoa, unatoa mkanda kiunoni unazama ndani ya shuka huko ndo utaanza kusaula sasa, unajificha ficha kama ka binti kabikra hivi kidume huoni aibu kufanya hivo? Yani unakua kama vibinti vya kijijini kanatamani mjulubeng ila kanajizungusha hadi kapigwe ngwara ndo katoe.....
Kwani ni nini kinafichwa? Kidogo sana? Likubwa sana? Kimepinda? Pmb kubwa sana ama ndogo kama za nyau? Hata kama!!! Kwani umeziumba wewe hadi uzihofie hivo, okay sawa labda una aibu si ujilipue hata na k vant akili zisafiri kidogo uwe huru, inakera!!!!! Mtaja pigwa ngwara na wanawake marijali
Heri ya mwaka mpya jf family.
Yuko vizuri! Anaelewesha kama mwalimu kwa darasa[emoji23][emoji23][emoji23] Evelyn Salt herself ukisikia mwingine photocopy
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha swahiba upo? I miss youHeri kwako pia. (Nimeidandia, though)
Huyu anakusubiri wewe EveHadi leo hujaoa tu??? Unachelewesha watoto shule babu
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Ili mtu uwe huru, tafuta wanabuku wenzio, au wanamatobo wenzio… KUKUSANYIA KWENTE SURUALI AU KUVULIA NDANI YA SHUKA, INAWEZA IKAWA NI ALAMA YA KWAMBA UNABEBWA/UNABEBA WALIO JUU YAKO KIUWEZO
Mechi ya mashtukizo sichezi hata kwa mtutu aseeeAU unafanya kama jezi… kuna kyupi ya mechi na ile isiyo ya mechi… ILA SEMA KUNA MECHI ZA KUSHTUKIZA... Unaitwa kwa mazungumzo au soda, unajikuta tu mechi hii hapa… !!! AHAHAHAHAHAHAHAAAA unaweza ugome mwanaume...
Ni kweli ila sio wote,Wanaume huwa mna katatizo mkikutana na mdada kwa siku ya kwanza
Sijui ni uoga ama ni kitu gani!?
Hahahaha swahiba nipo. Nimevuka swalama. I miss you too
Hujakutana na ving'ang'anizi wallah… Unasemeshwa hadi na wewe mzuka huu hapa.. Ahahahahaaaa… UNAANZA KUSEMA, KWANI TOBO KITU GANI BANAA..!!! KWANI AKILIONA TOBO AU KYUPI YANGU YA BUKU NTAKUFA? huyooo mwenyewe unaelekea kibra..
Basi matobo au kyupi ya buku inakuhusu wallah