TzComedy
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 890
- 700
Bila shaka kichwa kimeeleweka. Ni nani humu jf ambae anaweza kujitokeza kutuambia kwa ufasaha radha halisi ya sigara ambayo ilimpelekea yeye ama rafiki yake kushawishika kuifyoza pasinashaka?, binafsi nimeamua kuuliza hivi baada ya jitihada zangu za kuitafuta radha ya sigara kwa muda mrefu bila mafanikio kitu ambacho kimenipelekea nisiwe miongoni mwa wavutaji.
Jee, wenzetu muliopo kwenye hicho chama mnaweza kutuambia mlianzaje na mnawezaje kuendelea kubaki hadi leo?, hahahaha.....
Jee, wenzetu muliopo kwenye hicho chama mnaweza kutuambia mlianzaje na mnawezaje kuendelea kubaki hadi leo?, hahahaha.....