Mnaovuta Sigara mfano Kali, SM, Spoti nk, mlianzaje?

TzComedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
890
Reaction score
700
Bila shaka kichwa kimeeleweka. Ni nani humu jf ambae anaweza kujitokeza kutuambia kwa ufasaha radha halisi ya sigara ambayo ilimpelekea yeye ama rafiki yake kushawishika kuifyoza pasinashaka?, binafsi nimeamua kuuliza hivi baada ya jitihada zangu za kuitafuta radha ya sigara kwa muda mrefu bila mafanikio kitu ambacho kimenipelekea nisiwe miongoni mwa wavutaji.
Jee, wenzetu muliopo kwenye hicho chama mnaweza kutuambia mlianzaje na mnawezaje kuendelea kubaki hadi leo?, hahahaha.....
 
Nilianza kwenye krismasi 2016 sigara aina ya CAMEL nikavuta CLUB SM, nikaenda mbele zaidi nikavuta EMBASSY KING nikaja DUNHILL hivyo vyote ni kutafuta sigara yenye tumbaku nzuri ya daraja la kwanza, nikaenda mbele zaidi nikavuta CHESTERFIELD kwa utafiti wangu nikagundua tumbaku ya mwingereza na mmarekani ni bora zaidi, sasa sigara yenye ubora na nzuri nakushauri uvute CAMEL, DUNHILL, CHESTERFIELD.
 
Nilianza na ubugiaji ugoro bahati mbaya stimu ikawa haitoshi nikaenda mbali zaidi kwa kujidunga sindano za madawa ya kulevya. Baada ya kuanza kuzoea madawa ya kulevya nikajikuta navuta sigara tu bila kutegemea. Hivyo nakushauri anza kubugia dawa za kulevya ama ujidunge tu, utajikuta unavuta na kupenda sigara bila kutegemea.
 
Dun ill zinapatikana wapi??? Nipo ghetto mezani kwangu napoandika text hii kuna Chesterfield zangu za kutosha
 
Nenda kwenye super market za mjini utazipata kwa wingi,
Unatumia Chesterfield nyeupe ( Chesterfield remix ) au zile za rangi ya njano mpauko. ( Chesterfield original )
 
Yes!! Nyeupe ni nzuri na bei zao ni nafuu big up man kwa kuwa mjanja wa kutumia sigara yenye ubora wa kipekee. [emoji23] [emoji109]
Hahaa!!!!! Itabidi tuonanane siku moja tusmoke wote
 
Nilianza kwenye krismasi 2016 sigara aina ya CAMEL nikavuta CLUB SM, nikaenda mbele zaidi nikavuta EMBASSY KING nikaja DUNHILL hivyo vyote ni kutafuta sigara yenye tumbaku nzuri ya daraja la kwanza, nikaenda mbele zaidi nikavuta CHESTERFIELD kwa utafiti wangu nikagundua tumbaku ya mwingereza na mmarekani ni bora zaidi, sasa sigara yenye ubora na nzuri nakushauri uvute CAMEL, DUNHILL, CHESTERFIELD.
Za USA & UK hazionyi kuwa ni hatari kwa afya yako?

Endelea kujitesa kwa ridhaa yako.
 
Nilianza na ubugiaji ugoro bahati mbaya stimu ikawa haitoshi nikaenda mbali zaidi kwa kujidunga sindano za madawa ya kulevya. Baada ya kuanza kuzoea madawa ya kulevya nikajikuta navuta sigara tu bila kutegemea. Hivyo nakushauri anza kubugia dawa za kulevya ama ujidunge tu, utajikuta unavuta na kupenda sigara bila kutegemea.
Wewe utakuwa ni mchawi
 
Nilianza kwenye krismasi 2016 sigara aina ya CAMEL nikavuta CLUB SM, nikaenda mbele zaidi nikavuta EMBASSY KING nikaja DUNHILL hivyo vyote ni kutafuta sigara yenye tumbaku nzuri ya daraja la kwanza, nikaenda mbele zaidi nikavuta CHESTERFIELD kwa utafiti wangu nikagundua tumbaku ya mwingereza na mmarekani ni bora zaidi, sasa sigara yenye ubora na nzuri nakushauri uvute CAMEL, DUNHILL, CHESTERFIELD.
Camel switch madada wengi wanaovuta sigara hii ndio sigara yao inaonekana kuwa ni sigara ya kike
 
Back
Top Bottom