Mnaovuta Sigara mfano Kali, SM, Spoti nk, mlianzaje?

Mnaovuta Sigara mfano Kali, SM, Spoti nk, mlianzaje?

Nilikuwa Naishi kwenye boma lenye vijana wengi wakiume wavuta sigara, kwakuwa Nilikuwa mdogo wakati ule Nilikuwa natumwa Sana sigara,
Nanikipeleka naambiwa kawashe ndo ulete
Tatizo likawa kila nikiwasha haiwak vizur, nikipeleka narudishwa

Nikaona isiwe tabu wacha nivute ili iwake
Mwisho wa cku nikawa napiga pafu mbili tatu ndo nampelekea mwenye sigara yake

Nilivuta Karibu aina zote za sigara mpk nyota wakati ule ilikuwa inauzwa shilling 10

Wakati Niko darasa la saba ndo nikaanza kutambua test ya kila sigara, Embassy nikapenda ile ya kijani, Camel nikaona nyepec Sana

Mpk naacha sigara Nilikuwa navuta Sm, hii kitu niliipenda sana jamaniiii

Cjui sigara ckuiz zinauzwa shingapi
Nikarudie kuvuta Sm kidogo

Mara ya Mwisho kuvuta sigara ilikuwa 2009 nikiwa form3
Nilikamatwa choon na mwalimu ndo nikaachaga mazima
 
DUNHILL my favourite,,, iko vzr sana,, napenda pale unaiswitch then unapata ladha ya SM
 
DUNHILL my favourite,,, iko vzr sana,, napenda pale unaiswitch then unapata ladha ya SM
Hii ntajaribu japokuwa cna mpango wa kuwa mvutaji Ila nikinogewa Bhacccc ntakuwa kama Bi kidude
 
Hii ntajaribu japokuwa cna mpango wa kuwa mvutaji Ila nikinogewa Bhacccc ntakuwa kama Bi kidude
Itakuwa vzr maana tyl ushatumia SM,, hii kuna kisehemu kule kwenye filter ukikiswitch knachange ladha
 
Nilikuwa Naishi kwenye boma lenye vijana wengi wakiume wavuta sigara, kwakuwa Nilikuwa mdogo wakati ule Nilikuwa natumwa Sana sigara,
Nanikipeleka naambiwa kawashe ndo ulete
Tatizo likawa kila nikiwasha haiwak vizur, nikipeleka narudishwa

Nikaona isiwe tabu wacha nivute ili iwake
Mwisho wa cku nikawa napiga pafu mbili tatu ndo nampelekea mwenye sigara yake

Nilivuta Karibu aina zote za sigara mpk nyota wakati ule ilikuwa inauzwa shilling 10

Wakati Niko darasa la saba ndo nikaanza kutambua test ya kila sigara, Embassy nikapenda ile ya kijani, Camel nikaona nyepec Sana

Mpk naacha sigara Nilikuwa navuta Sm, hii kitu niliipenda sana jamaniiii

Cjui sigara ckuiz zinauzwa shingapi
Nikarudie kuvuta Sm kidogo

Mara ya Mwisho kuvuta sigara ilikuwa 2009 nikiwa form3
Nilikamatwa choon na mwalimu ndo nikaachaga mazima
Et ulikuwa unawasha hlf haiwaki,,, Hahah ikabd upge pafu kadhaa [emoji16] [emoji16]
 
Et ulikuwa unawasha hlf haiwaki,,, Hahah ikabd upge pafu kadhaa [emoji16] [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamama wa hiyo boma walikuwa hawatak kutoa Vibiriti wanasema vinaisha haraka

Kwaiyo ilikuwa inanilazimu kutafuta nyumba waliowasha jiko la mkaa ndo niwashe sigara

Nikipeleka naambiwa umeweka majivu tu apo haijawaka ,kawashe tena

Aaah nikaona icwe tabu buanaa
Wacha nichek kama imewaka

Mdogo mdogo nikawa napeleka sigara nusu [emoji3]
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Mwsho wa siku ukawa unamaliza mwanzo mwsho,,, mambo ya sigara bhana km ni mvutaji hlf akapita mtu anavuta then ukanusa ile harufu yake tyl koo linakereketa
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Mwsho wa siku ukawa unamaliza mwanzo mwsho,,, mambo ya sigara bhana km ni mvutaji hlf akapita mtu anavuta then ukanusa ile harufu yake tyl koo linakereketa
Ndo maana wengi wanagongea,mbaya zaid kwa watu ambao hata hawawajui, mbaya Sana hii kitu

Ila najishangaaga niliwezaje kuacha kuvuta sigara kwa Mara moja tu

Bibi angu alihangaika Sana kuacha sigara akaja kuangukia kwenye ugoro [emoji23][emoji23][emoji23] Halafu akarudia sigara zake tena,baadae akaacha akawa anakula pipi Kali
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo bibi noma!!!! Bado yupo hai??
 
Nilianza kwenye krismasi 2016 sigara aina ya CAMEL nikavuta CLUB SM, nikaenda mbele zaidi nikavuta EMBASSY KING nikaja DUNHILL hivyo vyote ni kutafuta sigara yenye tumbaku nzuri ya daraja la kwanza, nikaenda mbele zaidi nikavuta CHESTERFIELD kwa utafiti wangu nikagundua tumbaku ya mwingereza na mmarekani ni bora zaidi, sasa sigara yenye ubora na nzuri nakushauri uvute CAMEL, DUNHILL, CHESTERFIELD.
Mi nakumbuka nlianza 2013,nlpata kazi shm moja hv,, sasa ile kazi ikawa ina shift yaani day n night,,, nikiwa night nilpata shda Sana,,, shm Ilkuwa na baridi Kali sana,, unapigwa na baridi na korodani znanywea nlkuwa nafanya kazi na ngozi nyeupe wazungu flani hv,,, waliponiona napata shida ile wakawa wakchomoa sigara moja na mm wananipa,,, wao Ilkuwa ni chain smoker inazma hii anawasha nyngne,,, nlpoanza kuvuta nkawanaona fresh aisee,,, hadi nlkuwa natamani nfanye kazi night shift tu
 
Bila shaka kichwa kimeeleweka. Ni nani humu jf ambae anaweza kujitokeza kutuambia kwa ufasaha radha halisi ya sigara ambayo ilimpelekea yeye ama rafiki yake kushawishika kuifyoza pasinashaka?, binafsi nimeamua kuuliza hivi baada ya jitihada zangu za kuitafuta radha ya sigara kwa muda mrefu bila mafanikio kitu ambacho kimenipelekea nisiwe miongoni mwa wavutaji.
Jee, wenzetu muliopo kwenye hicho chama mnaweza kutuambia mlianzaje na mnawezaje kuendelea kubaki hadi leo?, hahahaha.....
"Mimi si mvutaji ila nina historia ya kufurahisha kidogo ikinikumbusha utundu wa utotoni.

Nakumbuka nikiwa na umri wa miaka kama 9 hivi tulikua tunasokota magazeti au makaratasi magumu ya kujaradia daftari tunawasha misokoto jikoni tunavuuuta hadi kukohoa, kivumbi Sasa umepewa kazi ya kuangalia maharage yasiungue jikoni

Wahenga kurudi wanakuta mimoshi ya magazeti imetapakaa ndani kucheki hivi wananikuta kajamaa nna bonge la msokoto la gazeti nalivuta,, yaani ingekuwa kipindi cha sasa wangenipiga picha na kunifanya kichekesho kwenye Mitandao

Kwakweli ikawabidi wacheke tu na kunihurumia mana skujua lolote Kwa nini nilifanya hivo.

Ila nashkuru ni utoto tu skuwahi kujaribu sigara za ukweli ama bhange,,,
 
Nenda kwenye super market za mjini utazipata kwa wingi,
Unatumia Chesterfield nyeupe ( Chesterfield remix ) au zile za rangi ya njano mpauko. ( Chesterfield original )
Hv Chesterfield ilikuwa na upepo gani sigara classic sana
 
Back
Top Bottom