Minah24
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,043
- 1,937
Nilikuwa Naishi kwenye boma lenye vijana wengi wakiume wavuta sigara, kwakuwa Nilikuwa mdogo wakati ule Nilikuwa natumwa Sana sigara,
Nanikipeleka naambiwa kawashe ndo ulete
Tatizo likawa kila nikiwasha haiwak vizur, nikipeleka narudishwa
Nikaona isiwe tabu wacha nivute ili iwake
Mwisho wa cku nikawa napiga pafu mbili tatu ndo nampelekea mwenye sigara yake
Nilivuta Karibu aina zote za sigara mpk nyota wakati ule ilikuwa inauzwa shilling 10
Wakati Niko darasa la saba ndo nikaanza kutambua test ya kila sigara, Embassy nikapenda ile ya kijani, Camel nikaona nyepec Sana
Mpk naacha sigara Nilikuwa navuta Sm, hii kitu niliipenda sana jamaniiii
Cjui sigara ckuiz zinauzwa shingapi
Nikarudie kuvuta Sm kidogo
Mara ya Mwisho kuvuta sigara ilikuwa 2009 nikiwa form3
Nilikamatwa choon na mwalimu ndo nikaachaga mazima