Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Mimi niliishia kuliwaziwa tu mara oh one day yes................Sasa kwa wale wenzangu na mimi mnaovutiwa na warembo na kuwaanzishia nyuzi mshawahi fanikisha chochote?
Nenda shule PCM si mchezo. Achana na masuala ya ngono la sivyo form six utapata div zeroMimi niliishia kuliwaziwa tu mara oh one day yes................Sasa kwa wale wenzangu na mimi mnaovutiwa na warembo na kuwaanzishia nyuzi mshawahi fanikisha chochote?
Haaaaaaaaaaaaaaah
Mnatumia njia zipi kubaini kwamba huyu ni mrembo na huyu siye?Mimi niliishia kuliwaziwa tu mara oh one day yes................Sasa kwa wale wenzangu na mimi mnaovutiwa na warembo na kuwaanzishia nyuzi mshawahi fanikisha chochote?
The best and most beautiful things in the World cannot be seen or touched,Mnatumia njia zipi kubaini kwamba huyu ni mrembo na huyu siye?
Au mkiangalia comments zao na avatar zao basi mnahitimisha kwamba wahusika ni warembo?
Beatiful things ndio hao warembo wa JF wasiojulikana?The best and most beautiful things in the World cannot be seen or touched,
They must be felt with the heart.
Loneliness is the keyMara mtu avutiwe na seran mara cocastic, mara lammomy, mara Faiza Foxy, mara sijui nani, huo muda wanaupata wapi kuandika kuvutiwa na warembo hao?
Soma tena nilicho andika ili ukielewe zaidi,jibu la swali lako limo humo.Beatiful things ndio hao warembo wa JF wasiojulikana?
SawaSoma tena nilicho andika ili ukielewe zaidi,jibu la swali lako limo humo.
Namanisha mshawai kudate nao?Kufanikiwa kuwapata una maanisha nini hapo?
Kuwapata kivipi?