Wanawake wa wapi wao hua hawataki hela?
Hawa wanawake wa JF hawawezi pia kua ndio hao hao wanawake waliopo hizo sehemu zingine? coz JF sio Dunia ya peke yake,waliomo humu ndio hao hao waliopo huko sehemu zingine.
Kueleweka kwenye jambo lipi?
Mkuu, kuna visa vingi, wapo watu humu hujifanya wanawake kiuhalisia ni madume mpauko, wapo wenye kushare ID, ID moja ina watu watatu au wanne lakini ni Ke, visa ni vingi. Kuhusu hela naondoa hiyo kauli mkuu. 😊