Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai jitahidi kijana utampata...Una uhakika nae tusije jichanganye Kwa mnyamwezi, sema Nini pia Kuna pisi inaitwa aizat, acha kaka sijiwezi kabisa na hapo, kwishaaaaaaa mimi
Mbona dogo janja alikula wolper sijui uwoya kabisa. Piga kazi weka dau hakuna kinaloshindikana