Mnaovutiwa na warembo wa JF mlifanikiwa kuwapata?

Fatilia historia zao na nyuzi zao za NYUMA, mfano cocastic miaka hiyo nilipataga mashaka kama ni demu kweli, alijisahau akaandika sisi wanaume, ili leta shida sana kumuamini Hadi Leo mfano we unaweza kosea ukaandika sisi wanawake?
Ulichoeleza wala siyo kigezo cha kujua huyu ni mwanamke na huyu ni mwanaume, unadhani wote ndio utawafahamu kwa njia hiyo?

Wote huwa wanaandika nyuzi na kucomment? Una ushahidi gani kuwa humu ndani wanawake wanaweza kuwa ni wengi kuzidi idadi niliyo kutajia?

Maana unaandika mambo ya kufirika tu hapa.
 
Hii nimeipenda ...na yule alivyo na titi zuri nitamwambia kuna butterfly bra hapa nzuri
Fanya hivo ila kama ni lamomy Nisha sikia ana liquor store cjui grocery Sina hakika nilitonywa tu na watoto wa mjini, pia ana duka la manguo ya wadada hawa Yale ka magauni ukikaza kumsakia una mpata code ya kwanza ni yupo town kati

Nasikia ana liquor store🥃 ka si grocery ya vinywaji, na shop la manguo Yale ya wadada Sina hakika lakini
 
Ulichoeleza wala siyo kigezo cha kujua huyu ni mwanamke na huyu ni mwanaume, unadhani wote ndio utawafahamu kwa njia hiyo?

Wote huwa wanaandika nyuzi na kucomment? Una ushahidi gani kuwa humu ndani wanawake wanaweza kuwa ni wengi kuzidi idadi niliyo kutajia?

Maana unaandika mambo ya kufirika tu hapa.
Nilio kutana nao Mimi tena mkoa Mmoja tu ni zaidi ya ishirini, Kuna dada mweusi ana Tako la hatari huyu Yuko Tanga alikuja zenji KIKAZI, nilimfuma na alikubali ila hakunambia id
 
Kuna demu alikuja zenji KIKAZI, ni mtumishi wa serikali Tanga,mweusi ana Tako alafu katumbo kadogo akivaa suruali zile soft acha mzeer limejichonga mzeer balaaa, huyu nilimfuma na tulipiga sana stori.
Nawapenda sana wenye shape za hivyoo awe namba 8...

Kwa hiyo ww unaishia kupiga stori tuu?
 
Fanya hivo ila kama ni lamomy Nisha sikia ana liquor store cjui grocery Sina hakika nilitonywa tu na watoto wa mjini, pia ana duka la manguo ya wadada hawa Yale ka magauni ukikaza kumsakia una mpata code ya kwanza ni yupo town kati

Nasikia ana liquor store🥃 ka si grocery ya vinywaji, na shop la manguo Yale ya wadada Sina hakika lakini
Kumbe mtoto wa town
 
Back
Top Bottom