Mnaovutiwa na warembo wa JF mlifanikiwa kuwapata?

Mnaovutiwa na warembo wa JF mlifanikiwa kuwapata?

Fanya hivo ila kama ni lamomy Nisha sikia ana liquor store cjui grocery Sina hakika nilitonywa tu na watoto wa mjini, pia ana duka la manguo ya wadada hawa Yale ka magauni ukikaza kumsakia una mpata code ya kwanza ni yupo town kati

Nasikia ana liquor store🄃 ka si grocery ya vinywaji, na shop la manguo Yale ya wadada Sina hakika lakini
Au sio? 😹
Haya mlete kwenye liquor store yangu weeekend..!!
 
Sasa mbona unaishia kula kwa macho tu mzee
Mkuu Huwa naheshimu mahusiano ya mtu, nikigundua demu ana mwana hata kama mwana namzidi sifa zote Huwa napiga chini sijaja duniani kuonea au kuumiza mtu mi na MUNGU wangu tunajua tunavo malizana, unaeza niona mjinga kumbe moyoni nafahamu MUNGU kanipa mbadala yupi, bro na enjoy sana tangu nijifunze kumuachia MUNGU na kumfanya awe zaidi ya mshikaji wangu
 
Back
Top Bottom