Mnaovutiwa na warembo wa JF mlifanikiwa kuwapata?

Mimi niliishia kuliwaziwa tu mara oh one day yes................Sasa kwa wale wenzangu na mimi mnaovutiwa na warembo na kuwaanzishia nyuzi mshawahi fanikisha chochote?
Mnatumia njia zipi kubaini kwamba huyu ni mrembo na huyu siye?
Au mkiangalia comments zao na avatar zao basi mnahitimisha kwamba wahusika ni warembo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…