Mnaovutiwa na warembo wa JF mlifanikiwa kuwapata?

Tatizo vijana mnavunja code moja mbaya sana....mnaongea sana!!!! na ukiwa unaongea sana ujue ndio unajielezea hivyooooΚ»!!!! na wanawake akili nyingi sana ma private investigators.
Watu wanajipakulia humu kimya kimya ikalaga bhaghoo.
 
Sasa mbona hata wewe hapa unavunja code? soma hapo kwenye red.
 
Wanawake wa JF wanataka hela mkuu.
Wanawake wa wapi wao hua hawataki hela?
Hawa wanawake wa JF hawawezi pia kua ndio hao hao wanawake waliopo hizo sehemu zingine? coz JF sio Dunia ya peke yake,waliomo humu ndio hao hao waliopo huko sehemu zingine.
Wanawake wa kueleweka ni wachache,
Kueleweka kwenye jambo lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…