Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulifanya kitu poa Sana, tofaut na hapo ungegeuka kichekeshoNiliwahi kufuta make up baada ya kumalizwa tu,yaani nilijiona kabisaaa nmekuwa kama jini nkamwambia Dada hapana nikachukua maji nkaosha uso halaf nkapaka poda yangu nkasepa
Watu walibaki wananishangaa
Makinika na kumpeleka mchumba wako saluni ya mchepuko
Hahaaa. Pole sana Pacha japokuwa pesa yako ilikwenda bure.Niliwahi kufuta make up baada ya kumalizwa tu,yaani nilijiona kabisaaa nmekuwa kama jini nkamwambia Dada hapana nikachukua maji nkaosha uso halaf nkapaka poda yangu nkasepa
Watu walibaki wananishangaa
Uzur sikulipa Mimi [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] alilipa Mwenye harusi ipo cku ntakuonyesha ile picha nlkuwa kama kakinyago pacha lolHahaaa. Pole sana Pacha japokuwa pesa yako ilikwenda bure.
Mwenzangu uwe kama jini kisa nini. Ukajinawiya mwenyewe halafu ukasepa zako. Lol.
Ila mie nadhani zile mambo za upambaji zinaendana na kusomea kidogo kwamba mtu anajua kwamba ngozi hii inakwenda na rangi hii sasa wenzangu na mie mtu anajipakia tu.
Mmh.Ndo hivyo tuvumiliane la muhimu kuwa tofauti.![]()
Hahaaa. Bora Pacha wa mie. Usijali pacha. [emoji12]Uzur sikulipa Mimi [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] alilipa Mwenye harusi ipo cku ntakuonyesha ile picha nlkuwa kama kakinyago pacha lol
Ni ukweli kabisaaa watu wengine hawajui ngozi za watu zilivyo na anachostahili mtu apakwe apendeze
Hahahaha si ndo hapo pachaHahaaa. Bora Pacha wa mie. Usijali pacha. [emoji12]
Tena kama ngozi zetu hizi zenye rangi adimu zinataka umakini sana sababu bila hivyo unaweza kuta uso wa njano huku shingo nyeusi.
Mwisho wa siku ndio mtu anabaki kuwa kichekesho mbele za watu sababu hata ile hadhi ya Ubibi Harusi inapotea sababu anakuwa kituko cha kuwachekesha waalikwa.
Mshana ule uzi wako wa Mbagala Rangi Tatu hapa pia una fiti, hahahahaMakinika na kumpeleka mchumba wako saluni ya mchepuko
Hahaaa. Ulifanya maamuzi mazuri. Safi sana Pacha.Hahahaha si ndo hapo pacha
Weiii nkajisemea taabu ya nn nshazoea poda na wanja halaf Leo mnaniharibu akhuu
hawa si ni wa vijijini, size yao kabisaUnawezaje kumfanyia mtu makeup ya hovyo hovyo kwenye harusi yake jamani siku muhimu ambayo anatakiwa kupendezaa haswaaaa hadi muoaji akimuona anamsahau
Mabibi harusi weusi mnawakoseaga sana makeup, kama hafai kupaka hayo madude kwanini usimwambie tu au umpake kidogo
Jumapili nimeenda harusini hadi nimemhurumia dada wawatu, mwenyewe mweusi kapigwa foundation mpaka kawa mweupe ,mirangi ya machoni sasa khaaa muwage na huruma jamani
Bwana harusi hakuwa na raha kabisa nahisi alitamani muda uende haraka atoke pale
Msitupatishe dhambi za kucheka watu kwenye sherehe zao
![]()
Msiwafanyie hivi [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115](uyo wa kwenye picha ni mfano )
Weka halisi ili nikuamini.Unawezaje kumfanyia mtu makeup ya hovyo hovyo kwenye harusi yake jamani siku muhimu ambayo anatakiwa kupendezaa haswaaaa hadi muoaji akimuona anamsahau
Mabibi harusi weusi mnawakoseaga sana makeup, kama hafai kupaka hayo madude kwanini usimwambie tu au umpake kidogo
Jumapili nimeenda harusini hadi nimemhurumia dada wawatu, mwenyewe mweusi kapigwa foundation mpaka kawa mweupe ,mirangi ya machoni sasa khaaa muwage na huruma jamani
Bwana harusi hakuwa na raha kabisa nahisi alitamani muda uende haraka atoke pale
Msitupatishe dhambi za kucheka watu kwenye sherehe zao
![]()
Msiwafanyie hivi [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115](uyo wa kwenye picha ni mfano )