Mnaowafanyia makeup mabibi harusi kueni na huruma kidogo!

Weka halisi ili nikuamini.
Kwanini niendelee kumfedhehesha humu

Huyo nilie mueka cmjui kabisa lkn picha yake inazunguka mitandaon, nayeye nikimueka itakuaje mbaya zaid picha nilionayo nimepiga nae
 
Anayepakwa kwani anapakaa bure...

Si akatae kama anachopakwa hakimpendezi...

cc: mahondaw
Kama cyo mzoefu wa makeup hawezi kujua lolote
Atajua kapendeza maskini, naiv ni saluni ndiko aliko rembewa, ata amini kila kitu alichofanyiwa kiko sawa.
 
Unawezaje kumfanyia mtu makeup ya hovyo hovyo kwenye harusi yake jamani siku muhimu ambayo anatakiwa kupendezaa haswaaaa hadi muoaji akimuona anamsahau

Mabibi harusi weusi mnawakoseaga sana makeup, kama hafai kupaka hayo madude kwanini usimwambie tu au umpake kidogo

Jumapili nimeenda harusini hadi nimemhurumia dada wawatu, mwenyewe mweusi kapigwa foundation mpaka kawa mweupe ,mirangi ya machoni sasa khaaa muwage na huruma jamani

Bwana harusi hakuwa na raha kabisa nahisi alitamani muda uende haraka atoke pale

Msitupatishe dhambi za kucheka watu kwenye sherehe zao

838461d72e5065726be74bbd1c0ef6c4.jpg

Msiwafanyie hivi [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115](uyo wa kwenye picha ni mfano )
Huyu atakuwa anabariki ndoa maana hata yeye mwenyewe kachoka utamlaumu mpambaji bure
 
ukipambwa hivyo lazima uende peponi
 
Huyu atakuwa anabariki ndoa maana hata yeye mwenyewe kachoka utamlaumu mpambaji bure
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angemwacha kama alivyo kuliko kumharibu kabisa
 
Nashauri bi harusi afanyiwe "riheso" ya make up wiki moja kabla, labda itasaidia. Kwa gharama ya nani sasa, hapo ndio tatizo. Labda wapambaji wanaweza offer bei nzuri as part ya package ya harusi.
 
Inawezekana lkn,salun za Mtaan cyo ghali kama za kina Lavi
 
Kwani wanavyopakwa wao hawaoni??? Kukubali kwao means wameridhika na huduma
 
Unawezaje kumfanyia mtu makeup ya hovyo hovyo kwenye harusi yake jamani siku muhimu ambayo anatakiwa kupendezaa haswaaaa hadi muoaji akimuona anamsahau

Mabibi harusi weusi mnawakoseaga sana makeup, kama hafai kupaka hayo madude kwanini usimwambie tu au umpake kidogo

Jumapili nimeenda harusini hadi nimemhurumia dada wawatu, mwenyewe mweusi kapigwa foundation mpaka kawa mweupe ,mirangi ya machoni sasa khaaa muwage na huruma jamani

Bwana harusi hakuwa na raha kabisa nahisi alitamani muda uende haraka atoke pale

Msitupatishe dhambi za kucheka watu kwenye sherehe zao

838461d72e5065726be74bbd1c0ef6c4.jpg

Msiwafanyie hivi [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115](uyo wa kwenye picha ni mfano )
Huyu ni BIBI, bibi, bibi-harusi. Yaani bibi.
Sjui nmeeleweka
 
Hata kama ni bibi, alipaswa kupendezeshwa kwenye sherehe yake jamaniiii

Anakaaga mbele ujue kila mtu anamtazama
Acpo pendeza waalikwa wataishia kumcheka mpk Mwisho wa shughul na kwenda kuhadithia Mtaan
 
Kwani wanavyopakwa wao hawaoni??? Kukubali kwao means wameridhika na huduma
Wengine hawajawai kupaka hivo vitu maishani mwao, wanakuja kupaka cku ya harusi
Kuna uwezekano mdogo sana wa yeye kutambua alichofanyiwa
 
Back
Top Bottom