Mnaowafanyia makeup mabibi harusi kueni na huruma kidogo!

Niliwahi kufuta make up baada ya kumalizwa tu,yaani nilijiona kabisaaa nmekuwa kama jini nkamwambia Dada hapana nikachukua maji nkaosha uso halaf nkapaka poda yangu nkasepa
Watu walibaki wananishangaa
Ulifanya kitu poa Sana, tofaut na hapo ungegeuka kichekesho
 
Ndo hivyo tuvumiliane la muhimu kuwa tofauti.
 
Yani hapo tatizo liko kwa wapambaji wengine hawajui kupamba na make up zao za bei rahisi. Hata uwe vipi ukimpata mpambaji mzuri wala huwi hivyo.
 
Niliwahi kufuta make up baada ya kumalizwa tu,yaani nilijiona kabisaaa nmekuwa kama jini nkamwambia Dada hapana nikachukua maji nkaosha uso halaf nkapaka poda yangu nkasepa
Watu walibaki wananishangaa
Hahaaa. Pole sana Pacha japokuwa pesa yako ilikwenda bure.

Mwenzangu uwe kama jini kisa nini. Ukajinawiya mwenyewe halafu ukasepa zako. Lol.

Ila mie nadhani zile mambo za upambaji zinaendana na kusomea kidogo kwamba mtu anajua kwamba ngozi hii inakwenda na rangi hii sasa wenzangu na mie mtu anajipakia tu.
 
Uzur sikulipa Mimi [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] alilipa Mwenye harusi ipo cku ntakuonyesha ile picha nlkuwa kama kakinyago pacha lol
Ni ukweli kabisaaa watu wengine hawajui ngozi za watu zilivyo na anachostahili mtu apakwe apendeze
 
Umenena vizuri,makeup zinapozidi sana zinamfanya mtu aonekane kituko,yaani unaweza kujiuliza hii picha ni ya kuchora au naangalia picha halisi..?
 
Uzur sikulipa Mimi [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] alilipa Mwenye harusi ipo cku ntakuonyesha ile picha nlkuwa kama kakinyago pacha lol
Ni ukweli kabisaaa watu wengine hawajui ngozi za watu zilivyo na anachostahili mtu apakwe apendeze
Hahaaa. Bora Pacha wa mie. Usijali pacha. [emoji12]

Tena kama ngozi zetu hizi zenye rangi adimu zinataka umakini sana sababu bila hivyo unaweza kuta uso wa njano huku shingo nyeusi.

Mwisho wa siku ndio mtu anabaki kuwa kichekesho mbele za watu sababu hata ile hadhi ya Ubibi Harusi inapotea sababu anakuwa kituko cha kuwachekesha waalikwa.
 
Hahahaha si ndo hapo pacha
Weiii nkajisemea taabu ya nn nshazoea poda na wanja halaf Leo mnaniharibu akhuu
 
Hahahaha si ndo hapo pacha
Weiii nkajisemea taabu ya nn nshazoea poda na wanja halaf Leo mnaniharibu akhuu
Hahaaa. Ulifanya maamuzi mazuri. Safi sana Pacha.

Sababu hapo hujafika shereheni na unaweza fika halafu ukute ukumbi hauna Ac , yaani hapo ndio unazidi kuwa mtihani sababu jasho linaweka ramani. Teh.
 
hawa si ni wa vijijini, size yao kabisa
 
Weka halisi ili nikuamini.
 
Mmh.

Ila makeup hizi. Duuh. Na hapo kama ana mume anamwambia mke wangu umependeza hatari. Teh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Noumah Sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…