Mnaozaa na wake za watu mnafikiria nini?

Mnaozaa na wake za watu mnafikiria nini?

Sasa mie naweza kujizuia je mwanamke wangu ataweza. Imagine muhuni yuko site hana hata muda wa kutiana ni kazi kazi.

Mke anakuwa free unakuta anatombesha tu. Hajali kama wewe utaumia kiasi gani siku ukijua.
Mkuu nawe uko site ya jnhp??,
 
Hahahah we unafikiri mchezo na mvua kama ya leo hii noma. Imagine wewe upo kwenye mradi wa JNHPP kule ukiingia kutoka baada ya miezi 6 kama jela vile.

Mwanamke anawashwa huku lazima tu atatokea mtu atakutombea yani haina jinsi. Mbaya zaidi mgongaji nae anogewe hadi akojolee ndani na kutia mimba.

Ukija unakuta mtu anakuchomekea CD kumbe hata mimba haikuwa yako. Mungu sio Khalidi mara umefumania meseji za kupongezana kwa mkeo na hawara wake.
💯🤝 🤣🤣🤣
 
Kuna njemba hapa anapita kideoni anadundaa amehukumiwa kifungo cha maisha kwa kumlawiti mgoni wake(mwanaume alietembea na mkewe) hana wasiwasi kabisa...
Nipo live Azam Tv
fala huyo alafu alifanya hadharani
kala mvua ya maisha
mkewe bado watu watampanda sana tu
 
Ila si ndo mnahubiri kila siku mkiwakamata mtawapaka mafuta...hahaha jamaa hajali na hajajutia kabisaa anaangalia kamera na anadunda..ila ni fala kweli
kuna uzi huko humu kuhusu hilo, sijawahi unga mkono zaidi naona ni upuuzi

utalawiti wangap wakati beki hazikabi kwa mkeo
 
Si mnajisifiaga mmeumbiwa tamaa. Huyo aliezalisha mke wa mtu alipe ujira wake mke akajitambulishe kwa mke mwenzie walee mimba pamoja. Mbafffffff
 
Watu mnataka mumshambulie mwanamke eti kakosea ooh huyo mume anaweza kumuua mkewe. Haya huyo mwenye mume aliechepuka hadi kampa mtu mimba akijiskia kuua atakua amekosea? Au maumivu wanayo wanaume tu. Kila mtu alipe ujira ngono zembe mnaziendekeza
 
Watu mnataka mumshambulie mwanamke eti kakosea ooh huyo mume anaweza kumuua mkewe. Haya huyo mwenye mume aliechepuka hadi kampa mtu mimba akijiskia kuua atakua amekosea? Au maumivu wanayo wanaume tu. Kila mtu alipe ujira ngono zembe mnaziendekeza
Mwenye Mume atamuuaje mkewe tena? Hujaeleweka hapa
 
Nimefanya utafiti usio rasmi, nimegundua kwamba uzinzi husababishwa na wanawake wenyewe. Hawa wake za watu wananyege sana na wengi wao hawana hofu ya MUNGU.

Ni rahisi sana kumvua chupi Mke wa mtu kuliko kumvua chupi binti ambaye hajaolewa bado.

Wanaume wengi ambao hawajaoa, ukiongea nao, watakwambia kuwa Wake za watu hujitongozesha kirahisi.

Sisi tunaosoma Biblia hukumbuka kisa cha Mke wa Potifa na Yusufu.
 
Dah! Imeniuma Sana,
Sijui uko mwanaume mwenzangu anajiskiaje[emoji26]
images-506.jpg
 
Vitu vingine mnawaonea sana wanaume
Kwanini mwanaume tuu ndio alaumiwe!? Huyo mke wa mtu yeye hajui kama ni mke wa mtu!?
Kama huyo mwanamke aliye mke wa mtu alibakwa basi aende kortini🙄🙄🙄
 
Back
Top Bottom