Mnapata wapi Marafiki Physically?


Yani ni km umenidescribe mimi...niko hivo hivo hadi interests. So shida yetu nadhani ni hizi interests zinatuweka mbali na cliques
 
Me najiona mchawi sometimes..
Mimi wala sijawahi kujihisi vibaya.
Ni tangu nakua,hata shule nilikuwa hivyohivyo.. mtaani ndiyo usiseme..na si kwamba nina maisha ya kigeti Kali..walaaa.


Mambo ya kukaa kujichanganya hata siwezi .
Kikubwa shughuli za muhimu ushiriki mf misiba.
 
Yani ni km umenidescribe mimi...niko hivo hivo hadi interests. So shida yetu nadhani ni hizi interests zinatuweka mbali na cliques
Una cope vipi na upweke mkuu? Maana sometimes nafeel nahitaji someone wa kuongea nae. Inapelekea natumiamuda mwingi kwenye cm..


Imagine leo 8 hours natumia kwenye cm. Pwnyewe it’s weekend.
 
Hii hali inanitokea ila tofauti ni kuwa nina peers katika shughuli ninazofanya
 
Sinywi pombe, sio mshabiki wa mpira, siendi kanisani.. Nipo nipo tu
Mbona hilo tatizo sasa hata chepal huendi wala ubeti
hila sio mbaya tafuta thread inayohusu introvert na extrovet naamini utapata muongozo mzuri sana.

ushauri jitahidi kujishanganya kwa sababu huko ndiko kuna opportunity za fursa na connection zilipolalia Allah ndiko anakotupatia mkono wake wa baraka, pia jaribu kuwa peer pressure ya hao unaofanya nao kazi kuwa ndio marafiki wako wa karibu, kumbuka uwezi kuishi peke yako na ukafanikia never ever mafanikio yako yapo kwa watu wanaokuzunguka take care brother.
 
hunywi pombe hufatilii football alf ni kijana dah bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…