Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Ujasiri huo unatoka wapi?nitalala hata kifudifudi
We ulipiga goti kwa mkeo? Ulipata wapi ujasiri wa kumpigia goti?Vijana ni waoga sana, kwani ukipiga magoti unapungukiwa nini?
Kwamba mkeo hatakuheshimu kila ulipiga goti?