Mnapata wapi ujasiri wa kuwapigia magoti wachumba zenu?

Mnapata wapi ujasiri wa kuwapigia magoti wachumba zenu?

Mwanamke yupo chini yako kwa kipi, mbona wewe upo chini ya raisi wako mwanamke.
Badili hizi fikra zako kabla hujapigwa na kitu kizito, dunia imebadilika sasa hivi, kalaghabaho.
Nchi kuongozwa na mwanamke haihusiani na hii mada.

Sikuelewi kwa nini ametoka ndani ya mada.
 
Kitendo cha mwanaume kupiga goti kwa mkeo ni kiashiria kua ume kubaliwa kutawaliwa hvo maisha yako yote utakua chini ya mkeo
Kijana una pigaje goti? Utakua ni uzoba kama ukifanya hivo na kama ulisha fanya hivo basi we jua ni Zoba
 
Wanaume ndio basi Tena,risasi ya kwanza tunajisalimisha.
 
Mwanamke yupo chini yako kwa kipi, mbona wewe upo chini ya raisi wako mwanamke.
Badili hizi fikra zako kabla hujapigwa na kitu kizito, dunia imebadilika sasa hivi, kalaghabaho.
Nchi kuongozwa na mwanamke haihusiani na hii mada.

Sikuelewi kwa nini ametoka ndani
Kwani mwanaume kua juu ya mwanamke ina maana gani??
Mwanaume ni kichwa cha familia
 
Back
Top Bottom