Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Usiwasikilize watakufundisha tabia mbaya mwaya 😂😂😂Watu wa JF wabaya sana hawa 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwasikilize watakufundisha tabia mbaya mwaya 😂😂😂Watu wa JF wabaya sana hawa 😂
Mc pilipili na mkewe watatenganishwa na kifo tu *****.Mc pilipili allipiga magoti huku analia hadi kwikwi...
Huyo dogo atakuoa lini?Acha kumfundisha tabia mbaya mume wangu mtarajiwa 🤣🤣🤣
HUYO Bibi kizee analea wajuu sasa hivi asikuvuruge na commentHuyo dogo atakuoa lini?
Bado yupo yupo kwanza 🤣🤣🤣Huyo dogo atakuoa lini?
Sikumkuta bikiraMwanamke wako ulimkuta bikra?
Kumbe ni kibibi, mie nilidhani Lamomy ni bonge la pisi kali.HUYO Bibi kizee analea wajuu sasa hivi asikuvuruge na comment
Olewa wewe kigori 🤣🤣HUYO Bibi kizee analea wajuu sasa hivi asikuvuruge na comment
Safi, upige goti au usipige itabak vilevile sio bikraSikumkuta bikira
Anatafuta kiki, hapo kinamuwasha hafu wa kiume sasa!! Muoe yeye kigori 🤣🤣Kumbe ni kibibi, mie nilidhani Lamomy ni bonge la pisi kali.
Nilishaanza kumvutia pumzi ujue Ila sasa nimesitisha
Na aliyeoita na bikira yake huwa anakuzoom tu 😂😂Sikumkuta bikira
Siwezi kumpigia goti mwanamke awe bikra asiwe bikra ambaye anakuja kwenye ndoa nimtunzeSafi, upige goti au usipige itabak vilevile sio bikra
Nitakusaidia wifi kumzaba 🤣yaani asipopiga goti ilo kofi nitakalo mzaba atajuta
Ndio maana mimi mwanamke asiye bikira namuona ni malaya kama malaya wengine tuNa aliyeoita na bikira yake huwa anakuzoom tu 😂😂
Sasa ndo uni forward kwake?Anatafuta kiki, hapo kinamuwasha hafu wa kiume sasa!! Muoe yeye kigori 🤣🤣
Mwanamke ndie anatakiwa kupiga gotiTatizo watu mna mafikirio hasi, ishara ya upendo hio. Kama mkiachana haikuwa imeandikwa
Ndomana nakupenda wifi angu,,yani unanisapoti hadi ujinga wangu😂Nitakusaidia wifi kumzaba 🤣