Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
- Thread starter
-
- #221
Itakuwa umemfananisha π€£π€£Ni macho yangu au Jamaa kafanana na Ringo mackntoshi
Nchi kuongozwa na mwanamke haihusiani na hii mada.Mwanamke yupo chini yako kwa kipi, mbona wewe upo chini ya raisi wako mwanamke.
Badili hizi fikra zako kabla hujapigwa na kitu kizito, dunia imebadilika sasa hivi, kalaghabaho.
Na yeye akikupiga dole kwenye mlango wa uwani wakati wa mnyanduano usipige keleleyaani asipopiga goti ilo kofi nitakalo mzaba atajuta
.Na yeye akikupiga dole kwenye mlango wa uwani wakati wa mnyanduano usipige kelele
Usinitenge ndugu yanguπππππ shem em tulia kwanza.!!
Coca karudi umemuona lakini?? π€£π€£π€£Usinitenge ndugu yanguπ
Uduguu tutapigwa ujue πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dalili za mwanzo za kuleft groupMkaka upo madhabahuni anamvalisha pete mdada huku umepiga goti, huna uhakika kama mtaishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe.
Hivi huo ujasiri huwa mnautoa wapi?
View attachment 3013222View attachment 3013223
Kwani mwanaume kua juu ya mwanamke ina maana gani??Nchi kuongozwa na mwanamke haihusiani na hii mada.
Sikuelewi kwa nini ametoka ndani ya mada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hatariiiUduguu tutapigwa ujue [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanasheria wetu bichwa yuko kwenye huba zito
Nchi kuongozwa na mwanamke haihusiani na hii mada.Mwanamke yupo chini yako kwa kipi, mbona wewe upo chini ya raisi wako mwanamke.
Badili hizi fikra zako kabla hujapigwa na kitu kizito, dunia imebadilika sasa hivi, kalaghabaho.
Mwanaume ni kichwa cha familiaKwani mwanaume kua juu ya mwanamke ina maana gani??
Udugu hivi shem wangu Mr voucha yuko wapi?? Nammiss ujue πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hatariii