Mnapata wapi wapenzi?

Mie Kaka yako nikushauri. Unataka mpenzi ama mke. Ila najua akili yako bado hujakomaa unaangalia uzuri wa nje , subiria ukifika 27 utakuwa umekomaa hata mie mwanangu simuozi kwa kijana under 25 labda alazimishe
Sorry kaka kwa sasa siwez kuona ila nachotaka ni kuwa msichana tukaanzisha mahusiano hata tuishi pamoja kama tukielewana vizuri ndio tuonane
 
Sorry kaka kwa sasa siwez kuona ila nachotaka ni kuwa msichana tukaanzisha mahusiano hata tuishi pamoja kama tukielewana vizuri ndio tuonane
Kama unataka mpenzi unayo makucha ya kuparua chini Kama jogoo anampatia mtetea ndio analainika anapampanda.
Tafuta wanachuo Kama una kazi. Nenda kale kwenye migahawa yao lipia mmoja bili pale wale wanaokuwa wamepanga wanakula chipsi muachie hela ya kesho Tena ya kula na business kadi nZuri kesho yake atakufuta.
 
Acha kuwaza mapenzi, huu ndio wakati wako kuwaza maendeleo na kuweka mipango Yako sawa , kuwekeza, kama huna vitu vya kukuendeshea maisha acha mara Moja utamchoka mke wako mapema kwa sababu mtajikuta mnatazamana kama makondoo tu ndani hasa kama umempata anayetegemea akili zako kufikiri tu ndio umekwisha, pambana weka njia za kikuingizia kipato na tafuta mpambanaji mwenzako la sivyo ukipata beki tatu utakojoa dagaa, NDIO SIO KUGONGA TU KWA SABABU UNA NYEGE BALI NI INSTITUTION yaani wenye heshima zao na waliokubaliana kutengeneza generation na sio kula mbususu tu.
 
MMU
 
 
Hii mbinu nitaijaribu hii
 
tena ukiwa na vihela hata usintongoze tafuta mmoja mwenye rafiki wengi we mjali tu uone masjosti huko hawalali😂😂
 
Wewe hio mikosi umeitoa kwenye andiko Gani? Kama sio Imani za kishirikina, leta neno apa
We ulishasoma maandiko matakatifu yote ukayamaliza?! Huwa hata unasoma maandiko matakatifu ndugu?! Apart from maandiko matakatifu waliyokuja nayo mitume kuna hadith na visa vyenye mafunzo na vilivyosababisha kushushwa kwa aya tofautitofauti kwenye maandiko matakatifu... unalijua hilo?!


Pole sana ndugu yangu... Maisha ya mwanadamu ni mafupi mno! Na nafkiri napoteza muda kumuelewesha mtu asiyeelewa na asiyetaka kuelewa na aliyechagua maisha ya kutoelewa na kutokujielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…