Mnapata wapi wapenzi?

Mnapata wapi wapenzi?

Mie Kaka yako nikushauri. Unataka mpenzi ama mke. Ila najua akili yako bado hujakomaa unaangalia uzuri wa nje , subiria ukifika 27 utakuwa umekomaa hata mie mwanangu simuozi kwa kijana under 25 labda alazimishe
Sorry kaka kwa sasa siwez kuona ila nachotaka ni kuwa msichana tukaanzisha mahusiano hata tuishi pamoja kama tukielewana vizuri ndio tuonane
 
Sorry kaka kwa sasa siwez kuona ila nachotaka ni kuwa msichana tukaanzisha mahusiano hata tuishi pamoja kama tukielewana vizuri ndio tuonane
Kama unataka mpenzi unayo makucha ya kuparua chini Kama jogoo anampatia mtetea ndio analainika anapampanda.
Tafuta wanachuo Kama una kazi. Nenda kale kwenye migahawa yao lipia mmoja bili pale wale wanaokuwa wamepanga wanakula chipsi muachie hela ya kesho Tena ya kula na business kadi nZuri kesho yake atakufuta.
 
Acha kuwaza mapenzi, huu ndio wakati wako kuwaza maendeleo na kuweka mipango Yako sawa , kuwekeza, kama huna vitu vya kukuendeshea maisha acha mara Moja utamchoka mke wako mapema kwa sababu mtajikuta mnatazamana kama makondoo tu ndani hasa kama umempata anayetegemea akili zako kufikiri tu ndio umekwisha, pambana weka njia za kikuingizia kipato na tafuta mpambanaji mwenzako la sivyo ukipata beki tatu utakojoa dagaa, NDIO SIO KUGONGA TU KWA SABABU UNA NYEGE BALI NI INSTITUTION yaani wenye heshima zao na waliokubaliana kutengeneza generation na sio kula mbususu tu.
 
Salaaam vijana wenzangu naomba mnisaidie kijana mwenzenu miaka 25 nataka nitoke kwenye hii hali ya U single nimeuchoka, Hivi mnapata wapi wapenzi serious yaani yule mwenzi wa kuwa naye maisha na mnafanya maisha pamoja?
Mi si mtu wa klabu au mitoko hivyo nakua ngumu kukutana na watu wapya hasa wadada nipeni mbinu ndugu zangu nyie mnawapatia wapi??
MMU
 
Acha kuwaza mapenzi, huu ndio wakati wako kuwaza maendeleo na kuweka mipango Yako sawa , kuwekeza, kama huna vitu vya kukuendeshea maisha acha mara Moja utamchoka mke wako mapema kwa sababu mtajikuta mnatazamana kama makondoo tu ndani hasa kama umempata anayetegemea akili zako kufikiri tu ndio umekwisha, pambana weka njia za kikuingizia kipato na tafuta mpambanaji mwenzako la sivyo ukipata beki tatu utakojoa dagaa, NDIO SIO KUGONGA TU KWA SABABU UNA NYEGE BALI NI INSTITUTION yaani wenye heshima zao na waliokubaliana kutengeneza generation na sio kula mbususu
Acha kuwaza mapenzi, huu ndio wakati wako kuwaza maendeleo na kuweka mipango Yako sawa , kuwekeza, kama huna vitu vya kukuendeshea maisha acha mara Moja utamchoka mke wako mapema kwa sababu mtajikuta mnatazamana kama makondoo tu ndani hasa kama umempata anayetegemea akili zako kufikiri tu ndio umekwisha, pambana weka njia za kikuingizia kipato na tafuta mpambanaji mwenzako la sivyo ukipata beki tatu utakojoa dagaa, NDIO SIO KUGONGA TU KWA SABABU UNA NYEGE BALI NI INSTITUTION yaani wenye heshima zao na waliokubaliana kutengeneza generation na sio kula mbususu tu.
Ahsante sana ila kuna mda kama binadamu kuna kitu unamis unaona hapa bila mwenza mambo hayaendi kabisa yani
 
Kama unataka mpenzi unayo makucha ya kuparua chini Kama jogoo anampatia mtetea ndio analainika anapampanda.
Tafuta wanachuo Kama una kazi. Nenda kale kwenye migahawa yao lipia mmoja bili pale wale wanaokuwa wamepanga wanakula chipsi muachie hela ya kesho Tena ya kula na business kadi nZuri kesho yake atakufuta.
Hii mbinu nitaijaribu hii
 
Hata usijiangaishe, wakati ukifika sijui Huwa wanatokea wapi?

Ila Kuna formula ukitaka wanawake waanze kukufuatila lazima uwe na demu unaemjali.

Tafuta demu hapo kitaani au ofsini kwenu jilipue na anza kudate nae. Jitoe sana , onyesha kucare ila usimule.

Utashangaa jinsi maisha Yako yatakavyobadirika. Utawindwa Kila Kona na hotojua unatokaje.

Hali hiyo ikitokea , Tenga muda wa kufunga na kuomba Kwa week nzima , uombe ishara ya mdada sahii . Mungu alivyo mwaminifu atakukutanisha nae.

Usisahau yule wa kwanza usimule mbususu
tena ukiwa na vihela hata usintongoze tafuta mmoja mwenye rafiki wengi we mjali tu uone masjosti huko hawalali😂😂
 
Wewe hio mikosi umeitoa kwenye andiko Gani? Kama sio Imani za kishirikina, leta neno apa
We ulishasoma maandiko matakatifu yote ukayamaliza?! Huwa hata unasoma maandiko matakatifu ndugu?! Apart from maandiko matakatifu waliyokuja nayo mitume kuna hadith na visa vyenye mafunzo na vilivyosababisha kushushwa kwa aya tofautitofauti kwenye maandiko matakatifu... unalijua hilo?!

Pole sana ndugu yangu... Maisha ya mwanadamu ni mafupi mno! Na nafkiri napoteza muda kumuelewesha mtu asiyeelewa na asiyetaka kuelewa na aliyechagua maisha ya kutoelewa na kutokujielewa.
 
Back
Top Bottom