Mnapata wapi wapenzi?

Tomber , yaani tomber sana achana na biashara ya permanent relationship.... Huelewi nini?
Ila we jamaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uko Bar nini Komredi? πŸ˜€

Kapumzike nyumbani kaka uamke mapema kesho ukatumikie taifa. Muda wa kupumzika huu mkuu gambe lipo tu...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tafadhali San Hali ya SAS wadada kuwa wengi wadangaji Ni tabu Sana uwe makini. Au udhuria kanisani au msikitini uwez kosa. Au kweny maombi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hao wa nyumba za Ibada ndio hatari simshauri mtu,wengi wakishapata tu ndoa na ibadani ukata mguu.
Mwanamke sahihi ni kuichunguza asili yake
 
Ehh mkuu so apike msosi halafu auache asubiri atakaoletewa [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Ukianza kumtafuta ni ngumu kumpata maana kila utakaekua nae utaanza kumpima kwa vigezo vyako hapo sasa kasoro ndo utazipa nguvu zaidi., wewe ishi maisha yako endelea na ratiba zako za kila siku changamana na watu na kwa wakati huo binti atakaeingia ndani ya 18 we mpelekee moto tu kusogeza siku, mwenza wa maisha hatafutwi katika hizi hizi chaos za maisha atatokea tu bila kutarajia.
 
Ukimpata kwa kumtafuta basi utaendelea kutafuta na hautaacha kutafuta [emoji16][emoji16][emoji16].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…