Mnapata wapi wapenzi?

Mnapata wapi wapenzi?

Tafadhali San Hali ya SAS wadada kuwa wengi wadangaji Ni tabu Sana uwe makini. Au udhuria kanisani au msikitini uwez kosa. Au kweny maombi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hao wa nyumba za Ibada ndio hatari simshauri mtu,wengi wakishapata tu ndoa na ibadani ukata mguu.
Mwanamke sahihi ni kuichunguza asili yake
 
Hata usijiangaishe, wakati ukifika sijui Huwa wanatokea wapi?

Ila Kuna formula ukitaka wanawake waanze kukufuatila lazima uwe na demu unaemjali.

Tafuta demu hapo kitaani au ofsini kwenu jilipue na anza kudate nae. Jitoe sana , onyesha kucare ila usimule.

Utashangaa jinsi maisha Yako yatakavyobadirika. Utawindwa Kila Kona na hotojua unatokaje.

Hali hiyo ikitokea , Tenga muda wa kufunga na kuomba Kwa week nzima , uombe ishara ya mdada sahii . Mungu alivyo mwaminifu atakukutanisha nae.

Usisahau yule wa kwanza usimule mbususu
Ehh mkuu so apike msosi halafu auache asubiri atakaoletewa [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Salaaam vijana wenzangu naomba mnisaidie kijana mwenzenu miaka 25 nataka nitoke kwenye hii hali ya U single nimeuchoka, Hivi mnapata wapi wapenzi serious yaani yule mwenzi wa kuwa naye maisha na mnafanya maisha pamoja?
Mi si mtu wa klabu au mitoko hivyo nakua ngumu kukutana na watu wapya hasa wadada nipeni mbinu ndugu zangu nyie mnawapatia wapi??
Ukianza kumtafuta ni ngumu kumpata maana kila utakaekua nae utaanza kumpima kwa vigezo vyako hapo sasa kasoro ndo utazipa nguvu zaidi., wewe ishi maisha yako endelea na ratiba zako za kila siku changamana na watu na kwa wakati huo binti atakaeingia ndani ya 18 we mpelekee moto tu kusogeza siku, mwenza wa maisha hatafutwi katika hizi hizi chaos za maisha atatokea tu bila kutarajia.
 
Salaaam vijana wenzangu naomba mnisaidie kijana mwenzenu miaka 25 nataka nitoke kwenye hii hali ya U single nimeuchoka, Hivi mnapata wapi wapenzi serious yaani yule mwenzi wa kuwa naye maisha na mnafanya maisha pamoja?
Mi si mtu wa klabu au mitoko hivyo nakua ngumu kukutana na watu wapya hasa wadada nipeni mbinu ndugu zangu nyie mnawapatia wapi??
Ukimpata kwa kumtafuta basi utaendelea kutafuta na hautaacha kutafuta [emoji16][emoji16][emoji16].
 
Back
Top Bottom