Mnapata wapi wapenzi?

Watu wanamshauri mwana atembee atapata demu ila ukweli ni kwamba,utakutana na mademu wazuri ila utanyimwa namba

Nimewahi kukutana na pisi ya kiarabu umri kama miaka 20 pale Mwanza,toka siku hiyo na kabla ya siku hiyo sijawahi kuona mwanamke mzuri kama yule,namba alininyima akasema tutaonana tena
 
Aliyekwambia klabu kuna Mwanamke wa mipango nan?
 
Kongole
 
Mtandaoni hapana nilishampataga mmoja Facebook yeye yupo dom tupo kwenye uhusiano miez mitano hatujaonana siku imefika si akampost bwana wake, Dah
Iliniuna hatari maana nilishaanza kumpenda nikasema bora wakuonana nae live sio Mtandaoni
Hakuna Mwanamke mtandaoni
 
😂Dandia tu mtumbwi wa vibwengo,pisi nayoiongelea ni mkimya hapendi mambo ya kuchat sana,ni mtu wa ku like tu,ana interact humu na sisi tunaemjua tu
Unanipa wasiwasi mkuu... kwahiyo kumbe yule anae-LIKE sana ni KE ?! 😀😀😀😅

NCHI INA VITUKO SANA HII! Pisi nyingine naihusudu ni Ri ri I LOVE YOU BABE POPOTE ULIPO 😋🤤❤❤❤❤
 
Inategemeana na wewe unataka kumpatia wapi? Sokoni, kanisani,safarini, au popote pale unapotaka.
 
Nenda makanisani wako wengi tu,chamsingi kuwa serious usichezee mabinti.
 
HAYAna formula
 
Sawa ila mwili nao una mahitaji yake
Dah mkuu inaonekana we bado hujawahi kuonja kabisa. Hapo lazima kichwa kisitulie kwa sasa tafuta yeyote ata wa kupiga tu ili uizoee mbunye then ndio u stick kwenye ku shortlist wife material
 
Dah mkuu inaonekana we bado hujawahi kuonja kabisa. Hapo lazima kichwa kisitulie kwa sasa tafuta yeyote ata wa kupiga tu ili uizoee mbunye then ndio u stick kwenye ku shortlist wife material
Pamoja sana kaka ahsante sana kiukweli kama unajua vile hujakosea hata kidogo
 
Bila shaka wameshakupa mwongozo!!
Kila la kheri!
 
tafuta kanisani, mwambie mzee wa kanisa au mtu mzima yeyote akuchagulie sample mbili tatu upate mmoja wapo baada ya kufanya ufuatiliaji wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…