Mnapoambiwa Simba Sports Club siyo 'Wenzenu' nchi hii muwe mnaelewa sawa? Haya Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli shindana na Serikali sasa!

πŸ™„πŸ™„ hadi wavaa kanga na madela kama mleta uzi kumbe nao ni mikia
 
Yesu Kristo ni Simba Sports Club.
Malaika wote ni Simba Sports Club.

Mitume na Manabii wote isipokuwa Gwajiboy na TiTo na Mzee wa Bapa ni Simba Sports Club.

Ila Shwaitwani, yaani Ibirisi, Lusifer nastaajabu anaipenda Dar Young Afiricans.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji106][emoji123][emoji123][emoji123][emoji848][emoji848][emoji848][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
Halafu FIFA tayari wameshamwingiza usajili Simba. MORRISON yumo list ya wachezaji Simba
 
Dah!
 
Ujinga wako wakupenda mpira isifikie kiasi cha kukufuru. Mimi nishabiki wa simba ila hapo kusema mwenyezimungu ni simba umekosea sana ndugu..mungu unamhusisha na utimu.muombe masamaha mungu wako ikiwezekana ufute hii post.Tusiwe wajinga kiasi cha kumuhusisha mungu na mambo yetu ya kijinga ya kidunia
 
wametoa hicho hapo

 

Attachments

  • 1598722402035.png
    79.3 KB · Views: 1

Swine. Sasa kama tu unamjua sana Mungu na Dini mbona hujawa Papa au Ayatollah kabisa tujue moja? Mnafiki mkubwa na wala siombi Msamaha?
 
Swine. Sasa kama tu unamjua sana Mungu na Dini mbona hujawa Papa au Ayatollah kabisa tujue moja? Mnafiki mkubwa na wala siombi Msamaha?
omba msamaha mkuu hapo umefika mbali kidogo. kila kitu kilichop duniani ni chakwake Mungu
 


Umenisahau na me Simba
 
Mambo ya yesu yatatuletea shida Simba Kama Yale ya Titanic tuyaache
 
Naunga mkono hoja, 99% ya watanzania ni Simba

Ila Askofu Gwajima, Nabii Tito, yule Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dsm AlHaj Musa tuwape Yanga wale
 
Waganga na wachawi kama kaggere-simba

wazinzi na wapenda ngono zembe kama dimond-simba
darassa la 4 c kama akina mana rah-simba
wezi na majambazi kama amina morishon-simba
Deejay nasmile Nani asiyependa ngono dunia hii?Me naona hapo kama umempa sifa diamond nakuonesha mwanaume halisi
 
Kuna watu bwana sijui wakoje...wanatoa comment za kuwadhoofisha baadhi ya watu katika kipindi nyeti Cha uchaguzi ...ni hatari Sana kwa kweli...lengo lako ni kugawa kura...endeleeni na ujinga wenu...maana huu siyo upumbavu Bali ni ujinga...au inawezekana vyote viwili...
 
Mm Simba SC.Tunawakeraaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…